Mpe zawadi ya ndoabinti sijui nikupe zawadi gani? hebu njoo PM chap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe zawadi ya ndoabinti sijui nikupe zawadi gani? hebu njoo PM chap
Umepataje alama ya bluetick mkuu 😒Dada umesamehewa dhambi zako zote kuanzia Sasa na hata milele
sophy27: unaishi wapi nkuletee voks wageni moden car ya 2023 hii hiiNatumaini mko poa,
Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivo awali.
Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.
Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yankuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafnya hayo.
Kuna ambao wanatamani asubuhi isifike kwani kwao ni mateso matupu. Hadi jua linazama ni mwendo wa mahangaiko na ukute kuna waksti hawapati kabisa lakini ndo hivyo waliumbiwa mateso, ni mwendo wa kichwa kupata moto tu.
Wanawake wengi tumekuwa ni wazuri kwa upokeaji lakini ni wachache wa kushukuru. Tuwahurumie na tuwaombee japo wana mabaya yao na madhaifu yao walokuwanayo lakini watabaki kuwa ni muhimu kwa ustawi wafamilia zetu.
Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahid kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivo unavoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.
Na sisi wa jumuiya😀 pia tuwaombee na tuwashukuru kwani bila wao tusingeonekana huku mtaani.
Niliowakwaza mtanisamehe, ni hayo tu.
Tunalipa Mkuu, unalipia tuUmepataje alama ya bluetick mkuu 😒
To yeyeHatimaye tumeongezeka tunaoona upande wa Pili unaostahili huruma na pongez kwa wanaume🙏🙏
HahahaWanawake ni wachache Sana. Wengine ni 👹
Tunajisahaulisha tu tukitoka kwenye hizo page tunasubiri walete mboga tule😀😀😀na walipie watoto adaUmetisha dada japo kwenye mitandao hasa page za mahusiano wanaume ndio tuna makosa Kila siku ila ukweli wanaume hatuongeagi sn Kwa mwanaume anaejitambua anatumia nguvu kubwa Sana kuhakikisha familia yake Iko sawa.
Sophy27 bbyNatumaini mko poa,