Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
6,958
Reaction score
16,358
INTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.

SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.

Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.

Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo Serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa Serikali.

Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k

Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalali
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k

Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....

THE PROBLEM
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge)

Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.

Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).

2. Muonekano wa mabanda
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.

3. Hali wa watumishi
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.

Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisa.

Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!

4. Magari
Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.

CONCLUSION
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.

Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.

Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.

Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.

Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.

Yaani Mimi na Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.

Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!

NOTE
Mbele ya macho ya Serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""

YNWA
 
INTRODUCTION:-
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.

SCENARIO.
Tokea nifike nane nane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.

Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.

Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa serikali.

Nimetembelea Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k

Lakini pia nimetembelea Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalari
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k

Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....

THE PROBLEM.
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge).
Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.
Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).

2. Muonekano wa mabanda.
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.

3. Hali wa watumishi.
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.
Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisaaa.
Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!

4. Magari.
Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.

CONCLUSION.
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.
Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.

Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.

Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.

Yaani Mimi ya Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.

Aisee siwezi kukubali KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.

Mbele ya macho ya serikali ya CCM ""We are all equal, but some people are more equal""

#YNWA
Pia nyie wafanya kazi wa halmashauri huwa ni lazima muwe na kampauko fulani hivi. Iwe kimuonekano, kimitazamo, kiutendaji, hata muwe na hela vipi, mtu akiwaona tu lazima atawajua kuwa hawa ni wa halmashauri. Hata uwe sista du au braza men, lazima tu utajua huyu ni wa halmashauri.

Hata muagize gari pamoja, baada ya wiki utajua tu mwenye hili gari ni staff wa halmashauri.
Nadhani yote hii inatokana na tabia zenu za ufujaji na kutowajibika kama inavyotarajiwa na kutokuwa innovative na kuwa money oriented na pia utendaji wenu kuwa ni ule wa lazy affairs.

Mtu akiona vitambi, miondoko yake tu unajua kuwa hii ni mikato ya OC, recurrent, Gov, in kind n.k
Yote hii ni sababu ya tabia na utendaji wenu kuwa na athari za moja kwa moja kwa raia, lakini hamjali, hivyo mnakuwa kama wachawi wala nyama za watu, hii inapelekea mnakuwa kama watu wenye laana ila ni vile hamjijui.
 
Msipende kujilingalisha mtakuja mfe na sonona
Hakuna asiyetaka maisha mazuri.
Juzi nimelalia Mbeya pazuri.
Nikiwa Niko full na Castle lite zangu kichwani nikamropokea mkurugenzi wangu ""Uchaguzi wa 2025 hauwezi kunikuta kwenye halmashauri yako" yaani Mimi na li-masters langu nifie kijijini. HAIWEZEKANIII

Aliniangaliaaa akanijibu "Pombe hizo" 🤭🤭🤭🤭

#YNWA
 
INTRODUCTION:-
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.

SCENARIO.
Tokea nifike nane nane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.

Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.

Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa serikali.

Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k

Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalari
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k

Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....

THE PROBLEM.
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge).
Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.
Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).

2. Muonekano wa mabanda.
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.

3. Hali wa watumishi.
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.
Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisaaa.
Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!

4. Magari.
Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.

CONCLUSION.
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.

Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.

Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.

Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.

Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.

Yaani Mimi ya Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.

Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!

NOTE:
Mbele ya macho ya serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""

#YNWA
Sasa bro wapi ulale inategemea na wewe na pesa Yako,rate ya posho Kwa Serikali ni Moja uwe Halmashauri au Taasisi Kwa sababu ndani ya Jiji utalipwa 150,000-220,000 kutegemea na cheo au ngazi ya salary.

Mwisho kila mtu ana maisha yake hapa Duniani sio sawa kujilinganisha na wengine
 
Hakuna asiyetaka maisha mazuri.
Juzi nimelalia Mbeya pazuri.
Nikiwa Niko full na Castle lite zangu kichwani nikamropokea mkurugenzi wangu ""Uchaguzi wa 2025 hauwezi kunikuta kwenye halmashauri yako" yaani Mimi na li-masters langu nifie kijijini. HAIWEZEKANIII

Aliniangaliaaa akanijibu "Pombe hizo" 🤭🤭🤭🤭

#YNWA
Sawa bhana 🙌
 
Hakuna asiyetaka maisha mazuri.
Juzi nimelalia Mbeya pazuri.
Nikiwa Niko full na Castle lite zangu kichwani nikamropokea mkurugenzi wangu ""Uchaguzi wa 2025 hauwezi kunikuta kwenye halmashauri yako" yaani Mimi na li-masters langu nifie kijijini. HAIWEZEKANIII

Aliniangaliaaa akanijibu "Pombe hizo" [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]

#YNWA

Na mimi nakazia “pombe hizo”

Bandiko lako ni ukweli mtupu kuna waliochoka na walionona na wote ni watumishi
 
Maonyesho yoyote yanatafuna Sana hela. Ningekuwa kiongozi ( jambo ambalo siwezi) ningefuta maonyesho yote na semina na warsha zote zifanyike online with zero cost. Watu wanasafiri, wanalipwa nights, wanaandaa mabanda ya gharama, wanahamisha VIFAA vya ofisi mwishowe wanayavunja mabanda hayo utafikiri ni zile nyumba za udongo za watoto.
 
Sasa bro wapi ulale inategemea na wewe na pesa Yako,rate ya posho Kwa Serikali ni Moja uwe Halmashauri au Taasisi Kwa sababu ndani ya Jiji utalipwa 150,000-220,000 kutegemea na cheo au ngazi ya salary.

Mwisho kila mtu ana maisha yake hapa Duniani sio sawa kujilinganisha na wengine
Nilifikiri hiki kitu pia.
Same as mtu aliyeko regional hospital vs municipal hospital.
Wote watapokea posho japo mmoja anaweza kuwa mtokaji kuliko mwenzake
 
Maonyesho yoyote yanatafuna Sana hela. Nongekuwa kiongozi ( jambo ambalo siwezi) ningefuta maonyesho yote na semina na warsha zote zifanyike online with zero cost. Watu wanasafiri, wanalipwa nights, wanaandaa mabada ya garama, wanahamisha VIFAA vya ofisi mwishowe wanayavunja mabanda hayo utafikiri ni zile nyumba za udongo za watoto.
Kwa sababu una Mtizamo wa kijima kuhusu uchumi au hujui uchumi wenyewe.

Maonesho hususani kama haya yanasaidia sana elimu Kwa walengwa kuinua uchumi wa sehemu husika hivyo hela kuingia kwenye mzunguko na In turn kuinua kipato Cha Wananchi. eg wauza misosi, lodge na Bar na shughuli za usafirishaji.

The more hizo activities wakati zinawanufaisha mtu mmja mmja mwisho wa siku Serikali inapata Kodi zaidi so ni two way side.
 
Back
Top Bottom