Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

1. Bachelor of Science in Economics and Finance
2. Masters of Science in Finance and Investment.

#YNWA
Kwanini usijiajiri mkuu? Naamini mishahara kwa watumishi wa umma imepishana kidogo kwa kada husika,labda uwe mwanasiasa ndio utapiga pesa.

Lakini katika ajira za kutumikia umma wote tupo katika mtumbwi mmoja
 
INTRODUCTION:-
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini...
Mkuu wangu pole sana. Halmashauri zimejaa ujinga. Ninyi ndiyo mlipaswa mle bata sana. Ila eti unakuta 60% ya mapato sijui 40% yanaenda kwenye miradi ya maendeleo halafu wakurugenzi ni wakuda unakuta hiyo percentage inayobaki anawabania watumishi stahiki zao.

I wish nije niwe waziri wa TAMISEMI au Katibu mkuu nitawaonesha. Kwanza maendeleo inapaswa iwe asilimia kidogo sana nitahimiza PPP ktk kutekeleza miradi ili hawa watumishi wafanye kazi kwa raha
 
INTRODUCTION:-
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini...
Ukiwa kwenye halmashauri soma ramani ujue nini ni dili hapo. Kuna watu wameajiriwa halmashauri wakatoboa mpaka wakashangaza watu.

Nina ndugu yangu aliajiriwa wilayani mkoa wa tabora lakini alifanya makubwa mpaka akanunua V8 na kujenga Ghorofa kijijini kwao kilimanjaro.
 
Hakuna asiyetaka maisha mazuri.
Juzi nimelalia Mbeya pazuri.
Nikiwa Niko full na Castle lite zangu kichwani nikamropokea mkurugenzi wangu ""Uchaguzi wa 2025 hauwezi kunikuta kwenye halmashauri yako" yaani Mimi na li-masters langu nifie kijijini. HAIWEZEKANIII

Aliniangaliaaa akanijibu "Pombe hizo" 🤭🤭🤭🤭

#YNWA
😂😂😂ee ni pombe kweli! Anajua you are there to stay!! Haya ya 88 🎶🎶yana mwishooo,yatapitaaaa🎵🎵na utasahau And you’ll bethere,deeply grounded😄😄
Yeye ndo ana uhakika wa kuhamishwa anytime
 
Uko sahihi..mm pia nmeobserve icho kitu@umesahau kitu kikubwa zaidi
.watumish wa hzo Dc wengi wamekopwa kuja 88 tofauti na taasisi nyingine(changamoto naskia mifumo haijafunguka) cha muhim kama kijana waza kwendaa mbali zaiiiid sio kwendaa wizarani au taasisi flan..Ila cha muhim waza kujitawala n kujiongezaa.,nchi yetu bado Ina fursaa Sanaa haitakiwi kulalamila!nko na mm nanenane mby pia nmeiona kaka
 
Back
Top Bottom