Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi hazina issue, ungekuwa umesomea Land surveying, land management usingekuwa unalalamika sana1. Bachelor of Science in Economics and Finance
2. Masters of Science in Finance and Investment.
#YNWA
Kiujumla kufanya kazi serikalini au binafsi ni kupoteza muda na ujana wako bure. Ila ni katika mtazamo tofauti na uhalisia wa maisha.INTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.
SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.
Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.
Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa serikali.
Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k
Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalari
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k
Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....
THE PROBLEM
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge)
Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.
Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).
2. Muonekano wa mabanda
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.
3. Hali wa watumishi
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.
Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisa.
Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!
4. Magari
Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.
CONCLUSION
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.
Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.
Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.
Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.
Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.
Yaani Mimi ya Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.
Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!
NOTE
Mbele ya macho ya serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""
YNWA
Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!! 😁😁INTRODUCTION:

KabisaMsipende kujilingalisha mtakuja mfe na sonona
[emoji1787][emoji1787]Hakuna asiyetaka maisha mazuri.
Juzi nimelalia Mbeya pazuri.
Nikiwa Niko full na Castle lite zangu kichwani nikamropokea mkurugenzi wangu ""Uchaguzi wa 2025 hauwezi kunikuta kwenye halmashauri yako" yaani Mimi na li-masters langu nifie kijijini. HAIWEZEKANIII
Aliniangaliaaa akanijibu "Pombe hizo" [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
#YNWA
😂😂🤣 atakimbia offerKijana ukimaliza maonesho njoo hapa PSON,ni karibu sana na Mbeya Pazuri! Uje tunywe bia tuyajenge,nikutafutie link kwenye regulatory authority moja ukale bata! Ila sharti uoe😃
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]INTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.
SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.
Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.
Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa serikali.
Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k
Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalari
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k
Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....
THE PROBLEM
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge)
Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.
Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).
2. Muonekano wa mabanda
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.
3. Hali wa watumishi
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.
Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisa.
Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!
4. Magari
Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.
CONCLUSION
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.
Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.
Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.
Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.
Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.
Yaani Mimi ya Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.
Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!
NOTE
Mbele ya macho ya serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""
YNWA
Ushapata pesa pisha wenzako wasio na ajira wajeINTRODUCTION:

Sio dili, madili ya kutosha. Inabidi ufungue macho kwanza ukiwa hata kwenye halmashauri hela unayotumia kula na kodi ya pango ni kidogo. Ukijibana unaweza kufanya biashara hata ya Mazao ukatoboa kimasihara "take it from me"Lazima alipiga dili
🤝🤝Kabisa
Mtumishi wa local goverment anakataa kuwa local.Miaka 11 uko local government na hujui kuwa kuna tofauti kubwa kati ya Local government na central government?
Pole sana, maana hata hujui unachokifanya huko uliko.
5 au 50?Nina 50yrs serikalini. Yaani nimekumbuka Shuka kumekucha. Usafiri ni huhuuu sometimes wese nakosa napaki.
Nimefanikiwa kujenga na kusomesha. Albeit naapa kuondoka hapa DC