Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #301
Hii wasome wadau woteee na waelewe.Halmashauri hakuna michongo kama taasisi nyingine za serikali. Wafanyakazi wengi wa serikali hawategemei mishahara.
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii wasome wadau woteee na waelewe.Halmashauri hakuna michongo kama taasisi nyingine za serikali. Wafanyakazi wengi wa serikali hawategemei mishahara.
Dah ningekuwa naa hiki cheo muda huu si ningekuwa nasubiri kuwa DAS..!!!Sawa Sawa afisa rasilimali watu tumekuelewa[emoji3]
DahNilikuona ulikuwa unaningalia Sana na kitambi changu we umenyooka km ubao WA kulazia maiti aliyefia home
Soma hii comment ya mdau.
Hiki ndicho namaanisha.
""Maisha yako ni leo, ukilipwa vizuri utajiwekeza kwa haraka, na mwisho wa siku utakuwa CEO kwenye kampuni yako.""
#YNWA
Ni kupambana tuu bwana tajiriii.Ebu tupeane mbinu za kuhama halmashauri kwenda taasisi na wizara mana halmashauri ni umasikini nje nje.
poleni sana watu Manisapaa, Mishahara mnaita midogo ila CAG Report inaonyesha MANISPAA ZOTE kuna mchwa, ufisadi uliopindukia na mnaongoza kwa kuhodhi viwanja vya miradi nchi nzima:INTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.
SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.
Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.
Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa serikali.
Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k
Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalari
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k
Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....
THE PROBLEM
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge)
Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.
Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).
2. Muonekano wa mabanda
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.
3. Hali wa watumishi
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.
Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisa.
Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!
4. Magari
Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.
CONCLUSION
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.
Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.
Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.
Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.
Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.
Yaani Mimi ya Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.
Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!
NOTE
Mbele ya macho ya serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""
YNWA
Sema mnanichekeshaga na suti zenu za vitenge halafu huwa mnavaa suriali na mashati makubwa halafu mnakaza sana mikanda !..watu wa halmashauri bwana!
Haaaah.Vijana hawafanyi hivyo kuvaa suluari kubwa
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Duuuuuuuuuuh hii imeeendaaaPia nyie wafanya kazi wa halmashauri huwa ni lazima muwe na kampauko fulani hivi. Iwe kimuonekano, kimitazamo, kiutendaji, hata muwe na hela vipi, mtu akiwaona tu lazima atawajua kuwa hawa ni wa halmashauri. Hata uwe sista du au braza men, lazima tu utajua huyu ni wa halmashauri.
Hata muagize gari pamoja, baada ya wiki utajua tu mwenye hili gari ni staff wa halmashauri.
Nadhani yote hii inatokana na tabia zenu za ufujaji na kuto wajibika kama inavyotarajiwa na kutokuwa innovative na kuwa money oriented na pia utendaji wenu kuwa ni ule wa lazy affairs.
Mtu akiona vitambi, miondoko anajua kuwa hii ni mikato ya OC, recurrent, Gov, in kind n.k
Yote hii ni sababu ya tabia na utendaji wenu kuwa na athari za moja kwa moja kwa raia, lakini hamjali, hivyo mnakua kama wachawi wala nyama za watu, hii inapelekea mnakua kama watu wenye laana ila ni vile hamjijui.
Halmashauri mnazalisha nini? Wenzenu wanazalisha nyie ni watoa huduma unatakiwa ujuwe hilo.
Dah halmashauri tunaonekana hopeless..!!!Duuuuuuuuuuh hii imeeendaaa
dah..!Pia nyie wafanya kazi wa halmashauri huwa ni lazima muwe na kampauko fulani hivi. Iwe kimuonekano, kimitazamo, kiutendaji, hata muwe na hela vipi, mtu akiwaona tu lazima atawajua kuwa hawa ni wa halmashauri. Hata uwe sista du au braza men, lazima tu utajua huyu ni wa halmashauri.
Hata muagize gari pamoja, baada ya wiki utajua tu mwenye hili gari ni staff wa halmashauri.
Nadhani yote hii inatokana na tabia zenu za ufujaji na kuto wajibika kama inavyotarajiwa na kutokuwa innovative na kuwa money oriented na pia utendaji wenu kuwa ni ule wa lazy affairs.
Mtu akiona vitambi, miondoko anajua kuwa hii ni mikato ya OC, recurrent, Gov, in kind n.k
Yote hii ni sababu ya tabia na utendaji wenu kuwa na athari za moja kwa moja kwa raia, lakini hamjali, hivyo mnakua kama wachawi wala nyama za watu, hii inapelekea mnakua kama watu wenye laana ila ni vile hamjijui.
🤣🤣🤣🤣Nilikuona ulikuwa unaningalia Sana na kitambi changu we umenyooka km ubao WA kulazia maiti aliyefia home
Kataa kuwa LOCAL .....
#YNWA
Basi ni wewe tu na hiyo Halmashauri yako unayotoka ndio mma njaa. Mbona wengine wamelala sehemu nzuri tu ma tumekuwa rate ya 220,000. Mbona rate za sasa zinafanana kwenye taasisi zote zinaanzia 100,000- 250,000 per day. Muonekano wa Mabanda unategemea na maandalizi ya Halmashauri ila usi generalize.
Kwa mwaka wangu wa 20 kufanya kazi Halmashauri, Halmashauri sio kubaya ila inategemea na wewe unajishughulishaje baada ya kazi. Kama baada ya kazi unapiga masanga huku kuitegemea Posho na mshahara au mipigo utaendelea kuwa maskini na mlalamikaji ila ukijishughulisha nje ya kazi, mambo bum bum.