Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Ulianza kazi na miaka 7[emoji15][emoji38]



Natafuta mke wa maisha
Hahaaaa, umenipata? Mi mtu mzima kule sikuwa serious kihivyooo mkuu.
 
Uko sahihi..mm pia nmeobserve icho kitu@umesahau kitu kikubwa zaidi
.watumish wa hzo Dc wengi wamekopwa kuja 88 tofauti na taasisi nyingine(changamoto naskia mifumo haijafunguka) cha muhim kama kijana waza kwendaa mbali zaiiiid sio kwendaa wizarani au taasisi flan..Ila cha muhim waza kujitawala n kujiongezaa.,nchi yetu bado Ina fursaa Sanaa haitakiwi kulalamila!nko na mm nanenane mby pia nmeiona kaka
Hivi mkurugenzi akiwakopa si mkatae kwenda safari mseme kuwa hamna hata nauli za kwenda? Shida nini si ni haki yako?
 
Dah hao ndio wasomi wetu wanawaza ubinafsi hawawaz jinsi gani kupambana kubadili uchumi wa nch
Hiyo ni kazi ya waziri wa fedha na uchumi, pamoja na walio juu yake, sisi wacha tuwaze matumbo yetu kwanza, tukishiba ndo tutawaza mengine.
 
Bwaaanaaa wewe
Call allowance za tamisemi mpaka miezi mitatu kama mnavunja kikoba
Nasikia Tamisemi idara ya afya hakunaga call, au ni level gani hiyo yenye call ni health center?
 
Sihitaji kuoa kwasababu SITAKI KUOA.
Hayo mengine wewe wasema.

#YNWA
Mtoa mada hukutakiwa kumwambia mkurugenzi kuwa 2025 utaondoka, coz kuna watu wana roho mbaya, wataweza kukuwekea kauzibe.

Pia huko porini mbona gharama za maisha ni ndogo, mshahara unauona kabisa. Au wekeza kwenye kilimo, ufugaji au biashara, utapata pesa kuliko walio ktk taasisi.
 
Pole sana mzee wa Tanganyika DC [emoji28][emoji28]. Fanya kazi uwasaidie wananchi na serikali kuwapatia huduma wananchi.
 
Sio kweli.
HR mwenye bachelor aliyeanza Kazi Leo akiwa Halmashauri ni TGS D = 745K akianza BRELA 1.8mil

Mwalimu mwenye bachelor akianza Kazi Kufundisha Shule za Halmashauri TGST D = 745K na akiwa Tutor assistant chuoni ni zaidiii.

Serikali kwenye mishahara HAINA USAWA KABISAAA.

#YNWA
HR wa wizara fulani analipwa bei gani?
 
Nilienda halmashauri moja hivi asubuhi asubuhi nikakuta wakuu wa idara wana kikao, nikasema ngoja nipate supu kwenye mgahawa uliyopo hapo halmashauri

Nauliza supu nambiwa supu inapatikana mwisho wa mwezi mshahara ukitoka tu zile siku tatu za mwanzoni ndio kuna supu, nikahoji kuna nini wakasema chai ya rangi na mandazi, kuna mihogo ya kuchemsha na karanga, nikawaza sana nikapata jibu kwanini watumishi wa halmashauri wana sonona, majungu makasiriko kwa watumishi waliopo chini yao.
Yaani hata wakuu wa idara, mwenyekiti wa halmashauri (diwani), mkurugenzi, afisa utumishi, nao hawana hela ya supu mpaka mwisho wa mwezi?
 
Nadhani lengo la mada yangu hamjaelewa.
Sisemi kuhusu "side hustle" maana wapo wasio na ajira na Wana maisha mazuri sanaaa zaidi yako.

Nachosemea "Kwanini Local government Wana maslahi Duni kuliko Taasisi?""

The point is "What gained at the job" hayo ya side hustle kila mtu ana mishe zake.

Na kwanini Taasisi Wana mishe zao Ila pia kazini wanapata pakubwa?

#YNWA
Sasa local government wana waajiriwa wengi mno kuliko hizo taasisi, kwahiyo wakiwalipa mishahara mikubwa watafilisika.
 
Mmekutana wenyewe watoto wa Ardhi university.
Ila hii Dunia ni ya ajabu sanaa Kuna mshkaji wangu nikisoma nae PCB ila mi nilikimbia medicina, jamaa anakwambia, "course Bora ya kusoma ni medicine"

Ila pia huku Halmashauri Kuna maafisa Ardhi wapo ila naona wamepauka tuuu.
Na Kuna madokta huku kila siku wanatafuta uhamisho.

Dunia vururu vururuuu

#YNWA
Mshahara wa madaktari Tamisemi na wizara ya afya ni ule ule.
 
Nasikia Tamisemi idara ya afya hakunaga call, au ni level gani hiyo yenye call ni health center?
Health centre
District Hospital
Zahanati huko ndio Hakuna call allowance
 
Back
Top Bottom