Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

poleni sana watu Manisapaa, Mishahara mnaita midogo ila CAG Report inaonyesha MANISPAA ZOTE kuna mchwa, ufisadi uliopindukia na mnaongoza kwa kuhodhi viwanja vya miradi nchi nzima:
 
Duuuuuuuuuuh hii imeeendaaa
 
Halmashauri mnazalisha nini? Wenzenu wanazalisha nyie ni watoa huduma unatakiwa ujuwe hilo.

“Mashirika yamekuwa ni sehemu ya kula raha, ndio maana kila mtu anataka kuhama serikalini kwenda kwenye mashirika kuna nini, marupurupu mazuri, mishahara minene lakini hamna kitu serikali inapata.” – Rais @samia_suluhu_hassan
#MkutanoMashirikaYaUmma

#YNWA
 
dah..!
 



Ulianza kazi na miaka 7[emoji15][emoji38]



Natafuta mke wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…