Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Hahaaaa, umenipata? Mi mtu mzima kule sikuwa serious kihivyooo mkuu.Ulianza kazi na miaka 7[emoji15][emoji38]
Natafuta mke wa maisha
Natafuta mke wa maisha
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina umri wa miaka 27, ni muajiriwa natafuta mke aliye serious. Mimi ni mkristo sharti mke awe mkristo au awe tayari kubadili dini. Nawasilisha.www.jamiiforums.com
Hivi mkurugenzi akiwakopa si mkatae kwenda safari mseme kuwa hamna hata nauli za kwenda? Shida nini si ni haki yako?Uko sahihi..mm pia nmeobserve icho kitu@umesahau kitu kikubwa zaidi
.watumish wa hzo Dc wengi wamekopwa kuja 88 tofauti na taasisi nyingine(changamoto naskia mifumo haijafunguka) cha muhim kama kijana waza kwendaa mbali zaiiiid sio kwendaa wizarani au taasisi flan..Ila cha muhim waza kujitawala n kujiongezaa.,nchi yetu bado Ina fursaa Sanaa haitakiwi kulalamila!nko na mm nanenane mby pia nmeiona kaka
Tatizo huko Tamisemi ajira zake zinapatikana kiurahisi, hakuna cha kutazama wenye GPA kubwa, hakuna cha kufanyiwa interview, yaani mnazolewa wote kama kumbikumbi.Local govt vs taasis.inakuwa inauma mwenzako mmesoma course moja ila malipo mmepishana pakubwa.
Hiyo ni kazi ya waziri wa fedha na uchumi, pamoja na walio juu yake, sisi wacha tuwaze matumbo yetu kwanza, tukishiba ndo tutawaza mengine.Dah hao ndio wasomi wetu wanawaza ubinafsi hawawaz jinsi gani kupambana kubadili uchumi wa nch
Nasikia Tamisemi idara ya afya hakunaga call, au ni level gani hiyo yenye call ni health center?Bwaaanaaa wewe
Call allowance za tamisemi mpaka miezi mitatu kama mnavunja kikoba
Mtoa mada hukutakiwa kumwambia mkurugenzi kuwa 2025 utaondoka, coz kuna watu wana roho mbaya, wataweza kukuwekea kauzibe.Sihitaji kuoa kwasababu SITAKI KUOA.
Hayo mengine wewe wasema.
#YNWA
waMimi kuoa tu SIHITAJI
Niwe na hela au nisiwe nazo KUOA tu Kichwani kumenitoka kabisaaaa.
#YNWA
HR wa wizara fulani analipwa bei gani?Sio kweli.
HR mwenye bachelor aliyeanza Kazi Leo akiwa Halmashauri ni TGS D = 745K akianza BRELA 1.8mil
Mwalimu mwenye bachelor akianza Kazi Kufundisha Shule za Halmashauri TGST D = 745K na akiwa Tutor assistant chuoni ni zaidiii.
Serikali kwenye mishahara HAINA USAWA KABISAAA.
#YNWA
Ujinga upi?Kweli kabisa mkuu. Kwanza kwenye halmashauri kuna ujinga mwingi sana ambao hauvumiliki hata kidogo
UmwinyiUjinga upi?
Yaani hata wakuu wa idara, mwenyekiti wa halmashauri (diwani), mkurugenzi, afisa utumishi, nao hawana hela ya supu mpaka mwisho wa mwezi?Nilienda halmashauri moja hivi asubuhi asubuhi nikakuta wakuu wa idara wana kikao, nikasema ngoja nipate supu kwenye mgahawa uliyopo hapo halmashauri
Nauliza supu nambiwa supu inapatikana mwisho wa mwezi mshahara ukitoka tu zile siku tatu za mwanzoni ndio kuna supu, nikahoji kuna nini wakasema chai ya rangi na mandazi, kuna mihogo ya kuchemsha na karanga, nikawaza sana nikapata jibu kwanini watumishi wa halmashauri wana sonona, majungu makasiriko kwa watumishi waliopo chini yao.
Kwahiyo kujenga ndo maisha kwenda safi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aiseee mbona mi nawafahamu watu wapo halmashauri na maisha yanaenda safi tu wamejenga nini etc
Sasa local government wana waajiriwa wengi mno kuliko hizo taasisi, kwahiyo wakiwalipa mishahara mikubwa watafilisika.Nadhani lengo la mada yangu hamjaelewa.
Sisemi kuhusu "side hustle" maana wapo wasio na ajira na Wana maisha mazuri sanaaa zaidi yako.
Nachosemea "Kwanini Local government Wana maslahi Duni kuliko Taasisi?""
The point is "What gained at the job" hayo ya side hustle kila mtu ana mishe zake.
Na kwanini Taasisi Wana mishe zao Ila pia kazini wanapata pakubwa?
#YNWA
Mshahara wa madaktari Tamisemi na wizara ya afya ni ule ule.Mmekutana wenyewe watoto wa Ardhi university.
Ila hii Dunia ni ya ajabu sanaa Kuna mshkaji wangu nikisoma nae PCB ila mi nilikimbia medicina, jamaa anakwambia, "course Bora ya kusoma ni medicine"
Ila pia huku Halmashauri Kuna maafisa Ardhi wapo ila naona wamepauka tuuu.
Na Kuna madokta huku kila siku wanatafuta uhamisho.
Dunia vururu vururuuu
#YNWA
Health centreNasikia Tamisemi idara ya afya hakunaga call, au ni level gani hiyo yenye call ni health center?
UDOM inashika namba moja kwenye mambo mengi kitaifa, wacha kutukana chuo.Halafu ukute umesoma chuo cha kata UDOM.
#YNWA
Wapi wanalipa mishahara ya milioni saba, umekuwa RC au waziri?Nahitaji kuwa kwenye kundi la kupata hizi mil 7.
Nazihitaji hizo mil 7, sitaki hii laki 7
#YNWA