Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Njoo tubadilishane na mimi, mi nataka kuja halimashauri za maporini huko nikalime, niko private ya Msomali hapa Ilula.
 
Njoo tubadilishane na mimi, mi nataka kuja halimashauri za maporini huko nikalime, niko private ya Msomali hapa Ilula.
Kufanya Kazi private nilishamaliza tokea 2012

#YNWA
 
Kwanza nikuulize umelipa ada ya watoto mwezi huu?
Jibu kama ni ndio au hapana haijalishi ila una haki ya kutoa yako ya moyoni
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.Ukiona hapakufai hama hata mimi nilikataa kufanya kazi serikalini toka nilivyomaliza chuo kikuu mwaka 1990 na hadi sasa nakaribia ku staafu.
Si wongo mimi sio tajiri sana lakini sijawahi fanya kazi sehemu ambapo wanakulipa mshahara unakuwa mshahara wa mawazo.
Tatizo serikalini kuna uzembe mno watu wanawaza kupiga hela tu na hakuna nidhamu ya kazi.Ila nakuusia ukihamia taasisi usije dhani wao ni wazembe utafanya kazi kweli kweli hilo ujue kule hakuna nakwenda msiba wa jirani yangu nitarudi baada ya siku tatu au nakwenda kumcheza binti yangu amevunja ungo unaomba ruhusa au unaomba ruhusa unakwenda kwa mganga wa kienyeji.
Vile vitabia vya kuchunguliana uache kingine nakuusia usije dhani kuwa sababu una masters eti utakuwa boss kule unaweza kuta boss wako ana cheti ila alikutangulia wewe kuwa kimya ule nyama wasije kukunyima kisu.
 
Njoo tubadilishane na mimi, mi nataka kuja halimashauri za maporini huko nikalime, niko private ya Msomali hapa Ilula.
safi sana bro nimependa mawazo wako we acha wakimbilie mijini sisi tunatesa huku kijijini siku wakiamka tuko mbali
Mwisho napenda kusema vitunguu ni mali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…