Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
-
- #421
Anaeandika hivi unakuta yupo Kinondoni pale miguu juu akiandika comment yake.safi sana bro nimependa mawazo wako we acha wakimbilie mijini sisi tunatesa huku kijijini siku wakiamka tuko mbali
Mwisho napenda kusema vitunguu ni mali
Local is always LOCAL.Local government,tatizo mazee,jina lenyewe local ndo tatizo
Lini hiyo na umri unakwenda?
#YNWA
Na wote hao wanayapata kwa wizi tuuuHayo maokoto bila kuwa kwenye nafasi kama ya mkurugenzi, Mhasibu au mgavi au kuwa kwenye bodi za SM wadhani ni rahisi kuyapata?!
Asante madamMkuu wangu pole sana. Halmashauri zimejaa ujinga. Ninyi ndiyo mlipaswa mle bata sana. Ila eti unakuta 60% ya mapato sijui 40% yanaenda kwenye miradi ya maendeleo halafu wakurugenzi ni wakuda unakuta hiyo percentage inayobaki anawabania watumishi stahiki zao.
I wish nije niwe waziri wa TAMISEMI au Katibu mkuu nitawaonesha. Kwanza maendeleo inapaswa iwe asilimia kidogo sana nitahimiza PPP ktk kutekeleza miradi ili hawa watumishi wafanye kazi kwa raha
Am not "cursed" mimi..!!😂😂😂ee ni pombe kweli! Anajua you are there to stay!! Haya ya 88 🎶🎶yana mwishooo,yatapitaaaa🎵🎵na utasahau And you’ll bethere,deeply grounded😄😄
Yeye ndo ana uhakika wa kuhamishwa anytime
We are anomynous, kujipeleka kwa watu ili itokee nini?😂😂🤣 atakimbia offer