Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Yani mbwembwe zote zile za kugoma kuoa kumbe shida ni kipato sasa si ungesema tu, pole kijana hii nchi watumishi wa serikali wanaokula pesa ni wa kwenye mamlaka, mashirika, siasa na majeshi, nyie wengine ni majaliwa tu
 
Kiujumla kufanya kazi serikalini au binafsi ni kupoteza muda na ujana wako bure. Ila ni katika mtazamo tofauti na uhalisia wa maisha.
Nyakati zinabadilika na sisi hatuna budi kubadilika nazo pia.
 
Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!! 😁😁
 
[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ushapata pesa pisha wenzako wasio na ajira waje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…