Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Hayo maokoto hata hotel iliyopo Ilomba kwa price ya 50k per night IMENISHINDA..!!!

#YNWA
Basi ni wewe tu na hiyo Halmashauri yako unayotoka ndio mma njaa. Mbona wengine wamelala sehemu nzuri tu ma tumekuwa rate ya 220,000. Mbona rate za sasa zinafanana kwenye taasisi zote zinaanzia 100,000- 250,000 per day. Muonekano wa Mabanda unategemea na maandalizi ya Halmashauri ila usi generalize.
Kwa mwaka wangu wa 20 kufanya kazi Halmashauri, Halmashauri sio kubaya ila inategemea na wewe unajishughulishaje baada ya kazi. Kama baada ya kazi unapiga masanga huku kuitegemea Posho na mshahara au mipigo utaendelea kuwa maskini na mlalamikaji ila ukijishughulisha nje ya kazi, mambo bum bum.
 
Huko Serikali Perdiem zinatofautiana kwani?.
Inawezekana hajui asemacho huyu jamaa na wala sio mtumishi wa serikali. Mbona posho ni kuanzia 100,000 hadi 220,000 na hakuna 88 yenye pesa nyingi kama hii. Binafsi nipo Halmashauri na usiku huu nimefika kwangu toka Mbeya na nimetufi na pesa ya maana pamoja na kukaa siku 10 pale Lubex Hotel Forest Mpya. Jamaa inaonekana bado salary scale yake ni ndogo.
 
INTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.

SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.

Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.

Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa serikali.

Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k

Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalari
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k

Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....

THE PROBLEM
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge)

Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.
Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).

2. Muonekano wa mabanda
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.

3. Hali wa watumishi
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.

Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisa.

Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!

4. Magari
Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.

CONCLUSION
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.

Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.

Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.

Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.

Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.

Yaani Mimi ya Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.

Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!

NOTE
Mbele ya macho ya serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""

YNWA
Ndiyo maana hutaki kuoa usije mkondesha binti wa wenyewe!Tunawaambia kila mara..."local government is always local and cold"...!Huko kuna vijimungu watu,wezi,dhulmati,wanyanyasaji na wadumavu wa akili.Hawapendi hata kuwalipa maslahi stahiki watumishi wao.Ukifika kwa ma HROs wengi ni hamnazo na roho mbaya.Waweka hazina ndiyo balaa.Vijimungu mtu! Anyways,unapokuwa mtumishi wa Local government ni vema akili yako ikawa two steps ahead.Tumia akili mtu wa Mungu!🙏😂
 
Basi ni wewe tu na hiyo Halmashauri yako unayotoka ndio mma njaa. Mbona wengine wamelala sehemu nzuri tu ma tumekuwa rate ya 220,000. Mbona rate za sasa zinafanana kwenye taasisi zote zinaanzia 100,000- 250,000 per day. Muonekano wa Mabanda unategemea na maandalizi ya Halmashauri ila usi generalize.
Kwa mwaka wangu wa 20 kufanya kazi Halmashauri, Halmashauri sio kubaya ila inategemea na wewe unajishughulishaje baada ya kazi. Kama baada ya kazi unapiga masanga huku kuitegemea Posho na mshahara au mipigo utaendelea kuwa maskini na mlalamikaji ila ukijishughulisha nje ya kazi, mambo bum bum.

Shida hata hiyo posho wanakopwa[emoji28][emoji28]
 
INTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.

SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.

Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.

Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa serikali.

Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k

Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalari
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k

Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....

THE PROBLEM
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge)

Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.
Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).

2. Muonekano wa mabanda
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.

3. Hali wa watumishi
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.

Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisa.

Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!

4. Magari

Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.

CONCLUSION
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.

Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.

Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.

Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.

Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.

Yaani Mimi ya Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.

Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!

NOTE
Mbele ya macho ya serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""

YNWA
Pole sana mwanangu uko wapi leo tukajifariji kidogo kuna chimbo ni expensive ila pombe za pale ni kali na za kwenda bado sijagusia watoto wazuri .

Niko Esso hapa fanya kunifuata PM tukaishi wakuchoka mwenzangu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app

Nipo na zee moja listaafu linadai linamjua mdada mmoja mzuri wa kuitwa To yeye
 
INTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.

SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.

Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.

Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa serikali.

Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k

Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalari
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k

Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....

THE PROBLEM
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge)

Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.
Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).

2. Muonekano wa mabanda
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.

3. Hali wa watumishi
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.

Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisa.

Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!

4. Magari

Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.

CONCLUSION
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.

Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.

Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.

Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.

Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.

Yaani Mimi ya Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.

Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!

NOTE
Mbele ya macho ya serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""

YNWA
Hakika sisi watumishi wa halmashauri hasa DC na miji miidogo tunatia huruma na tuna nyuso za huzuni zilizogubikwa na umaskini na kukatata pamoja na nyuso zilizokoswa nuru pia tunaishi kwa kudra za mungu tu.
 
NDUGU UMEOONA TAASISI TU!
WHAT ABOUT SEKTA BINAFSI, KWA NINI HIKUWAZA KUCHUNGUZA SEKTA BINABAFSI.
HAO WA PERDM WANAWEZA NUNUA ILE FORD TRACTOR NA KUWEKEZA MAMILIONI.

NG'OMBE MMOJA WA ASAS SH 4000000.
HUKUTAMANI KUWA NA MRADI MKUBWA KAMA ULE?
 
NDUGU UMEOONA TAASISI TU!
WHAT ABOUT SEKTA BINAFSI, KWA NINI HIKUWAZA KUCHUNGUZA SEKTA BINABAFSI.
HAO WA PERDM WANAWEZA NUNUA ILE FORD TRACTOR NA KUWEKEZA MAMILIONI.

NG'OMBE MMOJA WA ASAS SH 400000.
HUKUTAMANI KUWA NA MRADI MKUBWA KAMA ULE?

Mkuu hiyo laki 400,000 kwa ng’ombe mmoja wa ASAS ni typing error au?? Nilivyoongea nao Mimi wanauza ng’ombe mwenye mimba Kama sijakosea ni Holstein Frisian kuanzia Tsh. 4,500,000/-
 
Hakuna asiyetaka maisha mazuri.
Juzi nimelalia Mbeya pazuri.
Nikiwa Niko full na Castle lite zangu kichwani nikamropokea mkurugenzi wangu ""Uchaguzi wa 2025 hauwezi kunikuta kwenye halmashauri yako" yaani Mimi na li-masters langu nifie kijijini. HAIWEZEKANIII

Aliniangaliaaa akanijibu "Pombe hizo" 🤭🤭🤭🤭

#YNWA
Hivi Castle Lite zinalewesha???!!!!
 
Back
Top Bottom