James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Hapo sawa.50 yrs og age, 23 yrs working in the government
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa.50 yrs og age, 23 yrs working in the government
Miaka 50 Serikalini!!!!! Utakuwa na miaka more than 70 nowNina 50yrs serikalini. Yaani nimekumbuka Shuka kumekucha. Usafiri ni huhuuu sometimes wese nakosa napaki.
Nimefanikiwa kujenga na kusomesha. Albeit naapa kuondoka hapa DC
Ipo hata Bodi ya Maziwa piaKuna bodi ya nyama bongo hii!?
Mkuu Mpwayungu Village njoo kuna jamaa kaamua kukusimanga huku.Pia nyie wafanya kazi wa halmashauri huwa ni lazima muwe na kampauko fulani hivi. Iwe kimuonekano, kimitazamo, kiutendaji, hata muwe na hela vipi, mtu akiwaona tu lazima atawajua kuwa hawa ni wa halmashauri. Hata uwe sista du au braza men, lazima tu utajua huyu ni wa halmashauri.
Hata muagize gari pamoja, baada ya wiki utajua tu mwenye hili gari ni staff wa halmashauri.
Nadhani yote hii inatokana na tabia zenu za ufujaji na kuto wajibika kama inavyotarajiwa na kutokuwa innovative na kuwa money oriented na pia utendaji wenu kuwa ni ule wa lazy affairs.
Mtu akiona vitambi, miondoko anajua kuwa hii ni mikato ya OC, recurrent, Gov, inkind n.k
Yote hii ni sababu ya tabia na utendaji wenu kuwa na athari za moja kwa moja kwa raia, lakini hamjali, hivyo mnakua kama wachawi wala nyama za watu, hii inapelekea mnakua kama watu wenye laana ila ni vile hamjijui.
Mill4. Ni typing error.Mkuu hiyo laki 400,000 kwa ng’ombe mmoja wa ASAS ni typing error au?? Nilivyoongea nao Mimi wanauza ng’ombe mwenye mimba Kama sijakosea ni Holstein Frisian kuanzia Tsh. 4,500,000/-
Huwa wana buy-buy time.Waanze kubugia bundles za balimi au bia bingwa.😂😂🙏🙏Hivi Castle Lite zinalewesha???!!!!
Wamepauka utadhani wanakula saruji na kujipaka mafuta ya taa.🤔Walimu wakilalamika mnasema uongo watumishi wote ni sawa tu....
Hakuna kitu kinaitwa HAKI sawa Kwa wote.
Halmashaur Kuna njaa balaa watu wamepauka hatarii.
HeheheINTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.
SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.
Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.
Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa serikali.
Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k
Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalari
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k
Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....
THE PROBLEM
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge)
Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.
Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).
2. Muonekano wa mabanda
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.
3. Hali wa watumishi
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.
Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisa.
Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!
4. Magari
Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.
CONCLUSION
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.
Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.
Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.
Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.
Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.
Yaani Mimi ya Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.
Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!
NOTE
Mbele ya macho ya serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""
YNWA
Halmashauri mnazalisha nini? Wenzenu wanazalisha nyie ni watoa huduma unatakiwa ujuwe hilo.
Magari mengi yanayotumiwa na Halmashauri yana namba za ST kwa kuwa yananunuliwa na taasisi ya Serikali inaitwa GIPSA.Yakinunuliwa husajiliwa kwa namba za ST na kupelekwa halmashauri husika.INTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.
SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.
Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.
Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa serikali.
Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k
Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalari
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k
Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....
THE PROBLEM
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge)
Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.
Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).
2. Muonekano wa mabanda
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.
3. Hali wa watumishi
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.
Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisa.
Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!
4. Magari
Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.
CONCLUSION
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.
Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.
Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.
Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.
Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.
Yaani Mimi ya Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.
Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!
NOTE
Mbele ya macho ya serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""
YNWA
Wanaogopa wasio julikana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jana nilikuwa hapo nane nane bado nakula libaridi la MbeyaNilikwambia tuonane hapo 8 8 ukapuuza hivi wana jf kufahamiana ni dhambi et mr Liverpool VPN
Thanks, likewise 🤗🤗si, estoy bie!
have a blessed day!
Mbona sikuelewi.Miaka 11 uko local government na hujui kuwa kuna tofauti kubwa kati ya Local government na central government?
Pole sana, maana hata hujui unachokifanya huko uliko.
Sihitaji kuoa kwasababu SITAKI KUOA.Yani mbwembwe zote zile za kugoma kuoa kumbe shida ni kipato sasa si ungesema tu, pole kijana hii nchi watumishi wa serikali wanaokula pesa ni wa kwenye mamlaka, mashirika, siasa na majeshi, nyie wengine ni majaliwa tu