Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Mkuu Mpwayungu Village njoo kuna jamaa kaamua kukusimanga huku.
 
Hehehe
Badalq yq kupambana kuiondoa CCM ambayo ni chimbuko la hayq, wewe unapqmbana kuhqma kazi
 
Serikalini kama hupo jikoni, kama huna Mkono mrefu wa kimkakati utastaafu maskini, baada ya kustaafu unavaa shati na surual ya kitambaa unachomekea unaenda kukata majani kwa ajili ya ng'ombe wako moja wa kisasa uliempata kupitia ile program ya world vision 🤣 huku private sector hela ipo ila kufukuzwa ni kama kupiga chafya tu
 
Magari mengi yanayotumiwa na Halmashauri yana namba za ST kwa kuwa yananunuliwa na taasisi ya Serikali inaitwa GIPSA.Yakinunuliwa husajiliwa kwa namba za ST na kupelekwa halmashauri husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…