Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Kuwa na ndoto kubwa ni jambo jema. Isitoshe umeongea kweli kabisa.Huku Halmashauri kwanza wataalamu wanadharaulika. Wenye nguvu ya kuamua mambo ni madiwani ambao wengi wao ni darasa la saba. Professionals wako isolated na hutupiwa lawama muda wote bila sababu. Halmashauri kumebaki km tawi la CCM siasa tupu!
 
Kazi ya pesa ni kuzunguka. JPM alipobana mliona, vyuma vilikaza. Pesa ya serikali inazunguka pakubwa.
 
Wilaya ya kijijini [emoji848] hapa lazima itakuwa ludewa. Pole

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
kila siku nasisitiza kufanya kazi halmashauri sijui serikali ya wapi, kwa ujumla utumishi wa umma wa kibongo ni kama kalaana flani hivi , kama vipi piga tukio huko kijijini usepe, hamna maana wana wanakula bata town wewe unakaa kileji na elimu yako piga bunda mzee baba utakuja kunishukuru baadaye.
 
Nina kuelewa sana.
 
Anachekesha sana huyu jamaa, halafu anajisifia eti ana masters hawezi kuwa local government. Wakati kuna watu wana diploma tu na wanakula maisha maisha kwenye hizo taasisi anazozililia yeye.
Hujaeleweka ulicho andika, mtoto wa kiume unakuwa "Bint Mwajuma"
1. Nani kajisifia?
2. Hebu nipe correlation ya mada yangu na ulicho andika.

#YNWA
 
Dah hao ndio wasomi wetu wanawaza ubinafsi hawawaz jinsi gani kupambana kubadili uchumi wa nch
Ili nipambane na uchumi wa nchi inatakiwa na Mimi niwe vizuri.
Kwamba unataka niteseke kisa nakupambania?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…