Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
-
- #161
Hao ndio kabisaa Mungu saidia.Hapo umezungumzia mfanyakazi wa halmashauri yaani ofisi ya wilaya husika na sio mfanyakazi chini ya halmashauri hiyo! Chukulia mfano mwalimu toka wilaya ya mbarali kijiji cha Mwanavala au muungano au labda wilaya ya Mufundi huko mapanda!
Kuna mbunye za kila aina..!!!Niko hapa Mbeya, Mbeya pazuri noma sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3581]
Kufanya Kazi TAMISEMI ni ufukura tuuFwaalaaaa weweeee
Ulivyosiliba
Kwani Tamisenga tumekufanya nini
1. Sikusoma kwa faida ya mtu.Ukiona Masters yako imeshindwa kufanya kijiji kuwa town,ndugu,hiyo elimu yako haina faida yeyote,temana nalo hilo li-masters lako
Mimi kuoa tu SIHITAJISababu yako ya leo ina mashiko angalau nimeanza kukuelewa[emoji28]
Kwani kudai maslahi kazini ni DHAMBI?ACHA KAZI
Yaani dili (side hustle) nipige au nisipige hiyo HAIKUHUSU.Basi ni wewe tu na hiyo Halmashauri yako unayotoka ndio mma njaa. Mbona wengine wamelala sehemu nzuri tu ma tumekuwa rate ya 220,000. Mbona rate za sasa zinafanana kwenye taasisi zote zinaanzia 100,000- 250,000 per day. Muonekano wa Mabanda unategemea na maandalizi ya Halmashauri ila usi generalize.
Kwa mwaka wangu wa 20 kufanya kazi Halmashauri, Halmashauri sio kubaya ila inategemea na wewe unajishughulishaje baada ya kazi. Kama baada ya kazi unapiga masanga huku kuitegemea Posho na mshahara au mipigo utaendelea kuwa maskini na mlalamikaji ila ukijishughulisha nje ya kazi, mambo bum bum.
Yaani dili (side hustle) nipige au nisipige hiyo HAIKUHUSU.Inawezekana hajui asemacho huyu jamaa na wala sio mtumishi wa serikali. Mbona posho ni kuanzia 100,000 hadi 220,000 na hakuna 88 yenye pesa nyingi kama hii. Binafsi nipo Halmashauri na usiku huu nimefika kwangu toka Mbeya na nimetufi na pesa ya maana pamoja na kukaa siku 10 pale Lubex Hotel Forest Mpya. Jamaa inaonekana bado salary scale yake ni ndogo.
Unapo jibu hoja punguza "Pesmism" and "negativity"Utakuwa umesoma MUM wewe maana sio bure kwa jinsi unavyolia lia.
Dah kukopwa Halmashauri ni jambo la kawaida sanaaa.Shida hata hiyo posho wanakopwa[emoji28][emoji28]
Mungu tusaidie.Hakika sisi watumishi wa halmashauri hasa DC na miji miidogo tunatia huruma na tuna nyuso za huzuni zilizogubikwa na umaskini na kukatata pamoja na nyuso zilizokoswa nuru pia tunaishi kwa kudra za mungu tu.
Huwa nikifika 19 naanza kusikia wazungu, na nikichanganya na Hanson's ndio inakuwa Bora zaidi.Hivi Castle Lite zinalewesha???!!!!
Asante Mama ake Nancy.Walimu wakilalamika mnasema uongo watumishi wote ni sawa tu....
Hakuna kitu kinaitwa HAKI sawa Kwa wote.
Halmashaur Kuna njaa balaa watu wamepauka hatarii.
NakaziaKATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Huwa na-buy time kushushia Hanson's au Grands.Huwa wana buy-buy time.Waanze kubugia bundles za balimi au bia bingwa.ππππ
Nilikwambia tuonane hapo 8 8 ukapuuza hivi wana jf kufahamiana ni dhambi et mr Liverpool VPN
Wanaogopa wasio julikana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jana nilikuwa hapo nane nane bado nakula libaridi la Mbeya
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hao ndio kabisaa Mungu saidia.
#YNWA
Hapa umekurupuka dogo. Nani kaandika kuhusu pesa za urithi?Yaani dili (side hustle) nipige au nisipige hiyo HAIKUHUSU.
Mada imejikita kwenye "Maokoto ya kazini" kwamba Taasisi wanalipwa sa kuliko TAMISEMI.
Hayo sijui Kuna hela za urithi, namiliki mashamba, sijui nini kila mtu ana mambo yako na Tuachane nayo.
Fact is "Money generated at work"
Hela za CCM nazitaka Tena nyingi na hela za mtaani nazitaka Tena nyingi.
#YNWA