Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Hapo umezungumzia mfanyakazi wa halmashauri yaani ofisi ya wilaya husika na sio mfanyakazi chini ya halmashauri hiyo! Chukulia mfano mwalimu toka wilaya ya mbarali kijiji cha Mwanavala au muungano au labda wilaya ya Mufundi huko mapanda!
Hao ndio kabisaa Mungu saidia.

#YNWA
 
Basi ni wewe tu na hiyo Halmashauri yako unayotoka ndio mma njaa. Mbona wengine wamelala sehemu nzuri tu ma tumekuwa rate ya 220,000. Mbona rate za sasa zinafanana kwenye taasisi zote zinaanzia 100,000- 250,000 per day. Muonekano wa Mabanda unategemea na maandalizi ya Halmashauri ila usi generalize.
Kwa mwaka wangu wa 20 kufanya kazi Halmashauri, Halmashauri sio kubaya ila inategemea na wewe unajishughulishaje baada ya kazi. Kama baada ya kazi unapiga masanga huku kuitegemea Posho na mshahara au mipigo utaendelea kuwa maskini na mlalamikaji ila ukijishughulisha nje ya kazi, mambo bum bum.
Yaani dili (side hustle) nipige au nisipige hiyo HAIKUHUSU.

Mada imejikita kwenye "Maokoto ya kazini" kwamba Taasisi wanalipwa sa kuliko TAMISEMI.

Hayo sijui Kuna hela za urithi, namiliki mashamba, sijui nini kila mtu ana mambo yako na Tuachane nayo.

Fact is "Money generated at work"

Hela za CCM nazitaka Tena nyingi na hela za mtaani nazitaka Tena nyingi.

#YNWA
 
Inawezekana hajui asemacho huyu jamaa na wala sio mtumishi wa serikali. Mbona posho ni kuanzia 100,000 hadi 220,000 na hakuna 88 yenye pesa nyingi kama hii. Binafsi nipo Halmashauri na usiku huu nimefika kwangu toka Mbeya na nimetufi na pesa ya maana pamoja na kukaa siku 10 pale Lubex Hotel Forest Mpya. Jamaa inaonekana bado salary scale yake ni ndogo.
Yaani dili (side hustle) nipige au nisipige hiyo HAIKUHUSU.

Mada imejikita kwenye "Maokoto ya kazini" kwamba Taasisi wanalipwa sa kuliko TAMISEMI.

Hayo sijui Kuna hela za urithi, namiliki mashamba, sijui nini kila mtu ana mambo yako na Tuachane nayo.

Fact is "Money generated at work"

Hela za CCM nazitaka Tena nyingi na hela za mtaani nazitaka Tena nyingi.

#YNWA
 
Utakuwa umesoma MUM wewe maana sio bure kwa jinsi unavyolia lia.
Unapo jibu hoja punguza "Pesmism" and "negativity"
Nenda direct kwenye hoja ila usim-attack mtoa hoja personally.

Na hili nenda nalo kokote uendako.

#YNWA
 
Hakika sisi watumishi wa halmashauri hasa DC na miji miidogo tunatia huruma na tuna nyuso za huzuni zilizogubikwa na umaskini na kukatata pamoja na nyuso zilizokoswa nuru pia tunaishi kwa kudra za mungu tu.
Mungu tusaidie.

#YNWA
 
Walimu wakilalamika mnasema uongo watumishi wote ni sawa tu....

Hakuna kitu kinaitwa HAKI sawa Kwa wote.

Halmashaur Kuna njaa balaa watu wamepauka hatarii.
Asante Mama ake Nancy.

#YNWA
 
Nilikwambia tuonane hapo 8 8 ukapuuza hivi wana jf kufahamiana ni dhambi et mr Liverpool VPN

Wanaogopa wasio julikana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jana nilikuwa hapo nane nane bado nakula libaridi la Mbeya

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app

Kuonana na mtu yoyote wa JF kwa kweli hili swali LIMENISHINDA.

Kuna siku nilipost kuhusu biashara ya vinywaji "Nina miaka 7 Niko kwenye biashara ya vinywaji"
Watu wengi tu walinifata PM kuomba namba ya simu ili wajifunze hii biashara, ila SIWEZI KWA KWELI.

Cha MUHIMU ni tuchat tu na tumalizane hukohuko PM.

#YNWA
 
Yaani dili (side hustle) nipige au nisipige hiyo HAIKUHUSU.

Mada imejikita kwenye "Maokoto ya kazini" kwamba Taasisi wanalipwa sa kuliko TAMISEMI.

Hayo sijui Kuna hela za urithi, namiliki mashamba, sijui nini kila mtu ana mambo yako na Tuachane nayo.

Fact is "Money generated at work"

Hela za CCM nazitaka Tena nyingi na hela za mtaani nazitaka Tena nyingi.

#YNWA
Hapa umekurupuka dogo. Nani kaandika kuhusu pesa za urithi?
 
Back
Top Bottom