Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Ardhi haijawai kumuangusha mtu ijuavyo mm ,,
Hivi dhumuni la mada yangu mmelielewa?

Wengi mnazungumzia "side hustle" ila Mimi nazungumzia "maokoto ya kazini"

Hayo ya side hustles kila mtu na tobo lake, hebu tuongee kile kinachoingia NMB kutoka serikalini.

#YNWA
 
Ni kweli ileje afsa ardh na afisa ardh dodoma jiji ,wa ileje atasubiri sanaa
- Mimi ni CPA (T) Sijasoma ardhi kabisa
-Wamepauka lakini wenzio Wana Mali nyingi, na madili mengi

Ukizungumzia side hustles kila mtu ana yake.
Mimi binafsi Nina miliki Depo (stockist) duka kubwa tuuu (tutaongea siku nyengine.)
Mimi ni stockist mkubwa wa Pepsi, coca-cola, TBL, SBL, TCC, N.k

Nina watoto wawili wanasoma private na nalipa ada nzuri tu.
Nimejisomesha mwenyewe kutoka Bach mpaka masters.
TUACHANE NA HAYO.

Nachosemea/kiini cha mada "Local government kwenye "what generated from job" HAKUNA KITU..!!""

#YNWA
 
Hivi mnajua hamjiamini[emoji23][emoji23][emoji23]. Benjamin Mkapa ni jina kubwa tu ila amekuzidi gross salary kwa 500k tu ila kadri mshahara unavyokuwa mkubwa na kodi inakuwa kubwa. Take home yake inaishia kuwa 1.4M mpaka 1.5M na kusomeshwa wote mnaweza someshwa sema wa BMH atawahi. Kuhusu call allowances, inategemea mapato ya hospitali na ukizingatia maspecialist ni priority wewe utasubiri kwanza. Hebu tuache kuangalia majina makubwa yakakitisha[emoji23][emoji23][emoji23]. Umesikia MOI imeingia hasara ya kiasi gani kwenye ripoti ya CAG, ndiyo ujue watu wanavyopiga madili outside the legal system. Mshahara haujawahi tosha kamwe, maana mshahara ukipanda na kodi inapaa. Kuna mtu makato ya kodi kwenye salary inaenda na 750k nzima[emoji23][emoji23][emoji23]. Hapo atakachobaki kuenjoy ni allowances na perdiem. Sio mshahara!
Mbali na hayo, bado daktari wa BMH anapata pesa nyingi ikiwemo za bima (kulingana na idadi ya wagonjwa waliohudumia, sasa hii huwezi linganisha na tamisemi, tofauti kubwa), bado ongeza hizi taasisi kubwa zinakuwa kwenye mpango wa research mfano TB, na hivyo kila mgonjwa anayehudumia aliyekwenye mpango huo, kuna pesa nyingine atalipwa. Bado kuna makorokoro mengine mengi ambayo wanayapata. Kwa hiyo bado anayefanya kazi kwenye taasisi yupo juu ukilinganisha na tamisemi
 
Ripoti za CAG kila mwaka zinaonyesha halmashauri yanaibwa mabilioni pesa huwa wanapeleka wapi?

Pili nenda ofisi yeyote ya halmashauri utakuta magari binafsi kibao yamepaki ya wafanyakazi pesa hizo huwa wanazitoa wapi?
CAG anakagua documentation. Siyo lazima pesa iwe imeibwa.

Na nchi yetu hiathamini akili za watu. Ni uchawa ndio kipaumbele.

Ukiweka zuzu Kama msimamizi wa kitengo, Kwasababu atakuwa anapewa vi_allowance kikazi tegemea maumivu.

Ndio maana documentation ni ZERO.

Kama pesa ilitoka ikafanya Jambo, CAG akija yeye anataka vielelezo, Kama hakuna anaandika pesa imepigwa.
 
Hivi dhumuni la mada yangu mmelielewa?

Wengi mnazungumzia "side hustle" ila Mimi nazungumzia "maokoto ya kazini"

Hayo ya side hustles kila mtu na tobo lake, hebu tuongee kile kinachoingia NMB kutoka serikalini.

#YNWA
Mfano walimu unakuta mwingine analia mshahara hautoshi wenzie unakuta wako vizuri tu kwa mshahara huo huo wakiwa hawana kipato chochote cha pembeni

Mwingine kutwa kelele.Ukimwambia kama unaona hautoshi acha kazi unakuta anafoka utanikisha wewe nikiacha?
 
Mbali na hayo, bado daktari wa BMH anapata pesa nyingi ikiwemo za bima (kulingana na idadi ya wagonjwa waliohudumia, sasa hii huwezi linganisha na tamisemi, tofauti kubwa), bado ongeza hizi taasisi kubwa zinakuwa kwenye mpango wa research mfano TB, na hivyo kila mgonjwa anayehudumia aliyekwenye mpango huo, kuna pesa nyingine atalipwa. Bado kuna makorokoro mengine mengi ambayo wanayapata. Kwa hiyo bado anayefanya kazi kwenye taasisi yupo juu ukilinganisha na tamisemi
Actually pesa ya bima ndio inayodetermine call allowance itakuwa inalipwa shilingi ngapi. Nabado kunazana inaendelea kuwa bima inalipa daktari, nope bima inalipa hospitali baada ya hapo hospitali hupangilia 50% ya pesa kutoka bima kufanyia mipango ya hospitali ambayo ndio ikiwemo hiyo call allowances. Usiulize kwanini specialist wa BMH au MNH wanazunguka kupiga vijiwe kila hospitali, majina makubwa yasikutishe. Kuhusu program za T.B na Malaria wahusika ni watu wa wizara ambaye unakuta anayehusika ni daktari wawili au watatu waliokuwa stationed kwenye hospitali fulani. Wahusika wahizo kazi ni wafanya kazi wawizara labda kama kazi ikiwa kubwa ndio wanaweza kuwekwa. Ila malipo yao ni mshikemshike maana batch za malipo kwenye system ni mpaka ziwe created kama wewe siwawizara husika. Makorokoro unaweza kuongelea mashirika ila sio hospitali za taasisi. Hospitali za taasisi hutoa huduma tofauti na mashirika ambayo huzalisha. BMH ni taasisi ambayo hutoa huduma na mishahara yake hutoka hazina ila hospitali huongezea about 500k kwenye mishahara yao ila mashirika ya kujitegemea ambayo mishahara na kila kitu ni kutokana n uzalishaji wa shirika huko ndio makorokoro utayaona. Narudia tena majina makubwa yasikutishe. Utamu wa ngoma ni mpaka uingie ucheze.
 
Ukizungumzia side hustles kila mtu ana yake.
Mimi binafsi Nina miliki Depo (stockist) duka kubwa tuuu (tutaongea siku nyengine.)
Mimi ni stockist mkubwa wa Pepsi, coca-cola, TBL, SBL, TCC, N.k

Nina watoto wawili wanasoma private na nalipa ada nzuri tu.
Nimejisomesha mwenyewe kutoka Bach mpaka masters.
TUACHANE NA HAYO.

Nachosemea/kiini cha mada "Local government kwenye "what generated from job" HAKUNA KITU..!!""

#YNWA
  • hatuzungumzii side hustle tu, bali ni Hela za magumashi , pesa ya magumashi ndiyo pesa nyingi kuliko hizo pesa zako halali, maafisa ardhi wengi wana viwanja vya kutosha, pesa za kutosha za magumashi
  • kama ungekuwa na ufahamu mzuri ungesomea vitu vyenye market,
 
Kwanini usijiajiri mkuu? Naamini mishahara kwa watumishi wa umma imepishana kidogo kwa kada husika,labda uwe mwanasiasa ndio utapiga pesa.

Lakini katika ajira za kutumikia umma wote tupo katika mtumbwi mmoja

hujui ukisemacho
 
Magari mengi yanayotumiwa na Halmashauri yana namba za ST kwa kuwa yananunuliwa na taasisi ya Serikali inaitwa GIPSA.Yakinunuliwa husajiliwa kwa namba za ST na kupelekwa halmashauri husika.

Acha ujuaji usio wa maana

Gari za local Gv zote ni SM. Kwenye halmashauri gari ya ST ni ya mkuu wa wilaya tuu. unless wawe wamepewa gari kutoka serikali kuu.

ST ni za wizara, Wakala, mamlaka za uidhibiti

Jua kutofautisha kati ya MDAs na LGAs ndio utajua mgawanyo wa magari. japo zote zinanunuliwa na Gpsa usajili utatokana na mnunuzi na aina ya taasisi yake
 
Magari mengi yanayotumiwa na Halmashauri yana namba za ST kwa kuwa yananunuliwa na taasisi ya Serikali inaitwa GIPSA.Yakinunuliwa husajiliwa kwa namba za ST na kupelekwa halmashauri husika.
Do again your home work.

#YNWA
 
Sema mnanichekeshaga na suti zenu za vitenge halafu huwa mnavaa suriali na mashati makubwa halafu mnakaza sana mikanda !..watu wa halmashauri bwana!

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app

Wanakaza sana mikanda bila sababu
IMG_8613.jpg

Na peni kwenye mfuko wa shat
 
CAG anakagua documentation. Siyo lazima pesa iwe imeibwa.

Na nchi yetu hiathamini akili za watu. Ni uchawa ndio kipaumbele.

Ukiweka zuzu Kama msimamizi wa kitengo, Kwasababu atakuwa anapewa vi_allowance kikazi tegemea maumivu.

Ndio maana documentation ni ZERO.

Kama pesa ilitoka ikafanya Jambo, CAG akija yeye anataka vielelezo, Kama hakuna anaandika pesa imepigwa.

unajua watu hawajuagi auditing inafanyikaje. CAG anaaudit Procedures. documents against governing Laws, directives,
 
Kwa upeo wako ni kwamba utajiri ni kuwa na mshahara mkubwa.

Hili kiuchumi siyo kweli. Mbinu za usimamizi wa fedha ndiyo chimbuko la utajiri.

Hao waliolala hotel ulizohisi ni ghali inawezekana pia wakawa hawana maisha mazuri kiasi ulichowakadiria.

Usijilinganishe. Laki saba yako inaweza ikafanya makubwa kuliko milioni saba ya mwingine.
 
Back
Top Bottom