Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

najua hudhani kwa maandishi lakini nafsi inajua kuwa nimeandika ukweli😀😀
halafu nahisi wewe ni muhanga wa mirror selfie kwa kutumia iphone. Ni ka uraibu kanakokuja na umiliki wa iphone.
Lini uliona napost mirror selfie status? Ms eyes 🤣🤣

Mkuu Ngurukia mm situmii mirror selfie jamani
Naitumia kwa nadra sana
Na kiwe ni kioo kioo kweli 🤣🤣
Sio kioo kina alama alama kibao
 
shhhhh watakupopoa hapa
Last nimechaji huo muda nikaitoa chaji ikiwa na 94…
Sizimi data.. na bado nina chaji ya kufika mpaka usiku.
IMG_2753.jpeg
 
Back
Top Bottom