Uchaguzi 2020 Nilichokiona hapa Korogwe kwenye mapokezi ya Magufuli, aaah huyu mtu anapendwa sana

Hata hivyo wapare hamna kitu ubongoni.
Unategemea Nini unapoambiwa watoto wasiende shule,walimu lazima waende kwenye kampeni ya POMBE...,KILA KATA ILETE WATU SI CHINI YA 200...(MALORI YAPO YA KUTOSHA) WATU HAWAJAMUONA MAKABILA DULLA LIVE ...ILA MWSHO WA SIKU KURA NI SIRI YA MTU.....

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo baba na mama yako wamedumaa akili zao? Mbona bado unawategemea kula na kulala kwao?
 
Jazba yangu ndio inifanye nisilione jina la Lissu? Au wabunge na madiwani wa CHADEMA? Aisee umepotoka...Tena umepotoka Sana...

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Yaan utaacha kupiga kistaarab utaanza kutoboa macho wagombea wengine maana sio kwa chuki hizo. Ila tambua tu #RAIS NI MAGUFULI# Cheza regae ruka ruka weeee baada ya october utaongozwa na huyo unayemchukia kqa miaka mingine MITANO.
 
Anapendwa na nani?

Yaani atese wananchi kwa miaka mitano halafu wampende?

Kuna lipi jipya na lenye maana aliwaahidi kuwafanyia wakazi wa Korogwe mwaka 2015 halafu mwisho wa siku akawafanyia?
Unajifanya kuukataa ukweli?
Ukweli huu utalazimika kuukubali 28october
 
Kwahiyo itifaki NI kuwafanya watoto wetu wasisome?hii siku waliopoteza mtairudisha lini?nyinyi ndio mnaompumbaza na kumwaminisha anapendwa....KUMBE MNALAZIMISHA....

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Hayo wewe wasema,ukweli mwingine mnapotosha vingine. Hakuna uongozi unaoweka watu wake pesa mfukoni labda serikali ambayo ni corrupt.
 
Hali ni ngumu miaka mitano, wananchi wanataka liwalo na liwe
Nikweli lakini ni mazoea ndo yalileta shida. Mtu akishazoea kwa miaka 10, 15 kuweka bajeti ya safari za nje, au akawatafutia watoto wake watatu vyeti vya elimu bandia na kuajiliwa baadaye ukisema stop, yeye anaona anaonewa. Hata changudoa leo hii ukianza kupambana nao utapata upinzani usiotegemea. Haya hayawezi kuwa ni sababu ya serikali kupiga magoti. Lazima nchi iwe na mpangilio na adabu.
 
Binadamu tunatofautiana uwezo. Kila mtu kuna mwingine anamzidi huyu au yule. Naaamini Magufuli anazidiwa na wengine kwa mambo mengi lakini siwezi kuamini kwamba Lissu anamzidi Magufuli ktk kuiongoza nchi hii. Huyo Lissu amekaa bungeni miaka mingapi? Alifanya nini unachoweza kusema alijitahidi lakini, labda, alizidiwa? Wenzake waliwahi kupeleka miswada binafsi ikakataliwa, yeye aliwahi kupeleka nini Bungeni? Kila siku yeye huwa ni kulilia haki, haki, haki hadi USA ni zipi hizo? Ni pamoja na za mashoga, eti hiyo ndo kujua sheria!

Kwa tuliojaliwa saikolojia ya mawasiliano ya viumbe, ukimuangalia usoni tu, unaona dalili zote za matatizo ya kufikiri. Sioni kama ni mtu anayeweza kushauliwa kwa lolote. Je, tumjaribu kushika utawala? Utawala haujalibiwi.
 
Ndugu agiza ugali na nyama choma pamoja na kachumbari nyingi halafu agiza na maji kubwa. Bill hiyo imeshalipiwa bila shaka
 
Mungu yupo na hata sasa yu kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…