Empty maisha
Senior Member
- Oct 10, 2020
- 124
- 186
Wa Sasa kila siku anavunja Sheria.Ukiwalinganisha wanaotaka urais, baadhi wanaopata kushabikiwa hadi unaona huruma. Hivi kweli akili ya Lissu inaweza kuongoza nchi na ukaamini nchi itaendelea! Tutajikuta kila siku rais akitunga sheria.
Kama no mzalendo halisi ,jibu ndio,Ila Kama maslahi,unaweza kosa jibu.Ukiwalinganisha wanaotaka urais, baadhi wanaopata kushabikiwa hadi unaona huruma. Hivi kweli akili ya Lissu inaweza kuongoza nchi na ukaamini nchi itaendelea! Tutajikuta kila siku rais akitunga sheria.
Sasa wapinzan I wanashindwaje kutengeneza Kama kweli wenzao wanatengeneza?Asilimia kubwa sio wakazi wa hapo,wengi wameletwa kutoka magoma,kwashemshi,mombo na vijiji vya karibu kwa ufupi mikutano ya CCM ni ya kutengeneza sio halisi hili lipo wazi na nimelishudia
Acha kulalamikia mitandaoni,humpendi wewe usituambukize na sie.Anapendwa na nani?
Yaani atese wananchi kwa miaka mitano halafu wampende?
Kuna lipi jipya na lenye maana aliwaahidi kuwafanyia wakazi wa Korogwe mwaka 2015 halafu mwisho wa siku akawafanyia?
Ukiwalinganisha wanaotaka urais, baadhi wanaopata kushabikiwa hadi unaona huruma. Hivi kweli akili ya Lissu inaweza kuongoza nchi na ukaamini nchi itaendelea! Tutajikuta kila siku rais akitunga sheria.
Unaona kauli za kibaguzi kama hizi ndio zinawapunguzia kura upinzani.Siwezi shangaa wazigua umasikini , uchawi na uvivu lazima wawe ccm .
Mwambie huyoAcha kulalamikia mitandaoni,humpendi wewe usituambukize na sie.
Hahaha msio na akili?!Mbona tuko wengi tuu
Maombi yako yamepata kibali machoni pakeInasikitisha sana baadhi ya mijitu! Haitambui kuwa kuna sheria zinakanyagwa lakini inakataa inayemsema ni mtunga sheria. Unathibitisha kuwa sheria za sasa hazifai!
Mimi ninapenda Magufuli ashinde hii miaka mitano ili mijitu kama wewe ipate kuona rangi zote. Halafu urejee hapa 2025 useme CCM iendelee kushinda! Ubaki ulivokuwa 2015 ifikapo 2025. Ila umri na uzee tu viongezeke!!
Adhabu hiyo kutoka kwa Nani,je ni ya haki au dhulma,isije ikawa ni ya uonevu,ili kuubeba upande Fulani.Sisi wanatanga tutamchagua raisi mwadilifu, sio yule jamaa mwongomwongo ambaye tayari ameshaadhibiwa kwa utovu wa nidhamu.
Ndiyo demokrasia ya kweli we kenge,sa hiyo ya wote wapende saccos ndo uite democrasia?Hahaha msio na akili?!
Hilo nalitambua, kijana mwenye akili aishabikie ccm ?! Haiwezekani.
Inamaana wewe una akili sana kuliko MwanaFa, Dai, King Kiba, Harmonizer, Jokate, Katambi n.k?Hahaha msio na akili?!
Hilo nalitambua, kijana mwenye akili aishabikie ccm ?! Haiwezekani.
Hahaha demokrasia iwepo ccm?!Ndiyo demokrasia ya kweli we kenge,sa hiyo ya wote wapende saccos ndo uite democrasia?
Kwani wenye akili wanatambuliwa vipi?Inamaana wewe una akili sana kuliko MwanaFa, Dai, King Kiba, Harmonizer, Jokate, Katambi n.k?
Mbowe pamoja na ruzuku, michango ya wabunge,pesa ya mifuko ya majimbo hata ofisi ya makao makuu hana. Mmekuwa misukule ya chama cha mfukoni cha mwenyekiti wenu, ngojeni mkamuliwe mkija stuka hata damu zimewaishia. Magufuli tano tena.Wanashangaa Rais wa wanyonge anayetumia msafara wa magari 100 aliyoyanunua kwa pesa ya vitambulisho vya Machinga.
Kuwa na busara na uwezo wa kuchuja mambo,kuwa upinzani haikupi asilimia kuwa wewe ndo una akili wakati umejawa na kamasi tu.Kwani wenye akili wanatambuliwa vipi?
Yani unavyodhani mimi ni mtoto mwenzio, hao uliowataja mimi na maliza chuo ndio labda wanazaliwa.Inamaana wewe una akili sana kuliko MwanaFa, Dai, King Kiba, Harmonizer, Jokate, Katambi n.k?
Huu mwaka CCM kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!Wakuu,
Niko hapa Korogwe ambapo Kesho tutakuwa na kampeni ya mkoa kwa mgombea wa CCM ndugu Magufuli.
Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana kumsalimia barabarani. Watu ni wengi mno. Nimeamini kuwa kiongozi anayeshughulika na matatizo ya watu, atapendwa na kuheshimiwa.
Hongera sana Magufuli na karibu Tanga
Amani
Mwanzoni nilijua propaganda ccm kubeba watu kwenda mikutanoni lakini leo nimeshuhudia live coasta zikikusanya watu kuwapeleka bagamoyo saa 11 asbh nimeshangaa sana ,usafiri ulikua shida mailimoja sababu coaster nyingi zimepeleka watu bagamoyoWakuu,
Niko hapa Korogwe ambapo Kesho tutakuwa na kampeni ya mkoa kwa mgombea wa CCM ndugu Magufuli...