Sitakuumiza Kamwe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 466
- 1,457
Sasa ukiwa na helicopter si unaons wahalifu vizuri ata ukichapa shaba unatarget vizuri kabisaJana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wakawa wanafanya doria na helikopta yao moja hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa...
Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa wametoka nje ya soko wakawa wanawaangalia. Mara watu wakaanza kuzomea. Tena wengine akina mama watu wazima. Hamtutishi kwa lo lote! Wapuuzi nyie. Kama kweli wanaume shukeni hapa wasaliti wakubwa nyinyi.... Vijana ndiyo kabisasaa. Wakawa wanaporomosha matusi. Helikopta ikaendelea kuzunguka!
Nilipoingia barabarani mara paap nikakutana na mtiti wa CDF nadhani. Landcruisers 4 zina namba za JW vioo tinted vimulimuli kama vyote na bendera zinapepea. Mbele na nyuma kuna open Defenders wamekaa wajeda wamevaa full kivita mpaka nyuso wamefunika. Na penyewe mambo yakawa ni yale yale. Watu wakaanza kupiga miluzi na kuzomea. Haooo wakatokomea zao.
Nilitoka pale nikiwa na mawazo tele. Watanzania hawa wamekuwaje hawa? Ina maana hawaogopi tena? Kwa nini uhusiano kati ya raia na wapasua matofali umezorota namna hii? Wanetu wapendwa hawa. Walinzi wa mipaka na uhai wetu. Mashujaa wetu. Majuzi tu hapa walikuwa admired na kupendwa sana lakini sasa wakipita huku mitaani watu ni kusonya tu na kutema mate. Je, D9 watasimama katika zamu yao kama walinzi wa amani na raia au watawatelekeza tena raia wauwawe kama kondoo pamoja na kuahidi maandamano ya amani?
Naam! Mambo yamebadilika . Hawa ni Watanzania wapya . Hawaogopi tena wala hawatishwi na nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa. Viongozi wetu inabidi walitambue hili na watumie dialogue na ushawishi badala ya vitisho na maguvu tu. Kwa hakika hizi ni zama mpya!
Ile heshima walikuwa nayo imeingia doaJana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wakawa wanafanya doria na helikopta yao moja hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa...
Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa wametoka nje ya soko wakawa wanawaangalia. Mara watu wakaanza kuzomea. Tena wengine akina mama watu wazima. Hamtutishi kwa lo lote! Wapuuzi nyie. Kama kweli wanaume shukeni hapa wasaliti wakubwa nyinyi.... Vijana ndiyo kabisasaa. Wakawa wanaporomosha matusi. Helikopta ikaendelea kuzunguka!
Nilipoingia barabarani mara paap nikakutana na mtiti wa CDF nadhani. Landcruisers 4 zina namba za JW vioo tinted vimulimuli kama vyote na bendera zinapepea. Mbele na nyuma kuna open Defenders wamekaa wajeda wamevaa full kivita mpaka nyuso wamefunika. Na penyewe mambo yakawa ni yale yale. Watu wakaanza kupiga miluzi na kuzomea. Haooo wakatokomea zao.
Nilitoka pale nikiwa na mawazo tele. Watanzania hawa wamekuwaje hawa? Ina maana hawaogopi tena? Kwa nini uhusiano kati ya raia na wapasua matofali umezorota namna hii? Wanetu wapendwa hawa. Walinzi wa mipaka na uhai wetu. Mashujaa wetu. Majuzi tu hapa walikuwa admired na kupendwa sana lakini sasa wakipita huku mitaani watu ni kusonya tu na kutema mate. Je, D9 watasimama katika zamu yao kama walinzi wa amani na raia au watawatelekeza tena raia wauwawe kama kondoo pamoja na kuahidi maandamano ya amani?
Naam! Mambo yamebadilika . Hawa ni Watanzania wapya . Hawaogopi tena wala hawatishwi na nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa. Viongozi wetu inabidi walitambue hili na watumie dialogue na ushawishi badala ya vitisho na maguvu tu. Kwa hakika hizi ni zama mpya!
Kuna TF-K50 haipokei amri ya sedeefu nadhani. Chui wenyewe watakuwa wanaigyaya! Sedeefu inavyooneka ndiyo kabisaaa!! Guess what!? Yawezekana TF-K50 inapokea amri kwa umdhanie siye. Nawaza kupunguza makali ya joto la kipindi hichi...!!!kukemea
YudaMsaliti wa Watanganyika!View attachment 3509520
Unaweza kufafanua kidogo?Kuna TF-K50 haipokei amri ya sedeefu. Chui wenyewe wanaigyaya! Sedeefu ndiyo kabisaaa!! Guess what!? TF-K50 inapokea amri kwa umdhanie siye. Nawaza kupunguza makali ya joto la kipindi hichi...!!!
Mkuu ni joto...lanifanya ni 'landuke' (Sijui Juma Nature yupo wapi siku hizi)!!!Unaweza kufafanua kidogo?
Wanajeshi ndiyo waliingiza watu mkenge MO29. Wananchi tusimame sisi kama sisi. Najua tunakoelekea tutakuja kupata mitutu na hii nchi haitakua Tanzania tena💔