PostGE2025 Nilichokiona Jana Kimeniogopesha. Watanzania Wamebadilika Sana!

PostGE2025 Nilichokiona Jana Kimeniogopesha. Watanzania Wamebadilika Sana!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nimesoma maoni yenu Ninyi WAHUNI na waleta vurugu nchini.Mimi kama mzalendo wa nchi yangu natamani nimiliku AK47 ili niwadhibiti siku ya 9D2025.Haiwezekani jeshi letu Bora kabisa linaloshika namba tatu duniani Kwa mjibu wa msemaji wa jeshi halafu Ninyi WAHUNI mlibagaze.Tukutane tisa disemba nitawadhibiti Mimi peke yangu wavuruga amani
 
Nenda kwa Mulirho mkuu ukapate no. yako ya usajili, Anapenda vijana Washenge kama nyinyi
 
Kuna TF-K50 haipokei amri ya sedeefu. Chui wenyewe wanaigyaya! Sedeefu ndiyo kabisaaa!! Guess what!? TF-K50 inapokea amri kwa umdhanie siye. Nawaza kupunguza makali ya joto la kipindi hichi...!!!
Angalau umenitia moyo comrade!
Kwasasa tumepoteza tumaini kana kwamba nchi Haina Tena jeshi Bali machawa ya watawala!

ACHA niwaite true deep state!
 
Nimesoma maoni yenu Ninyi WAHUNI na waleta vurugu nchini.Mimi kama mzalendo wa nchi yangu natamani nimiliku AK47 ili niwadhibiti siku ya 9D2025.Haiwezekani jeshi letu Bora kabisa linaloshika namba tatu duniani Kwa mjibu wa msemaji wa jeshi halafu Ninyi WAHUNI mlibagaze.Tukutane tisa disemba nitawadhibiti Mimi peke yangu wavuruga amani
Abdul ashakutatua marinda
 
Sawa useme mapema uko wapi tuje tupeane tano..
 
Jana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa...

Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa wametoka nje ya soko wakawa wanawaangalia. Mara watu wakaanza kuzomea. Tena wengine akina mama watu wazima. Hamtutishi kwa lo lote! Wapuuzi nyie. Kama kweli wanaume shukeni hapa wasaliti wakubwa nyinyi.... Vijana ndiyo kabisasaa. Wakawa wanaporomosha matusi. Lihelikopta likaendelea kuzunguka!

Nilipoingia barabarani mara paap nikakutana na mtiti wa CDF nadhani. Landcruisers 4 zina namba za JW vioo tinted vimulimuli kama vyote na bendera zinapepea. Mbele na nyuma kuna open Defenders wamekaa wajeda wamevaa full kivita mpaka nyuso wamefunika. Na penyewe mambo yakawa ni yale yale. Watu wakaanza kupiga miluzi na kuzomea. Haooo wakatokomea zao.

Nilitoka pale nikiwa na mawazo tele. Watanzania hawa wamekuwaje hawa? Ina maana hawaogopi tena? Kwa nini uhusiano kati ya raia na wapasua matofali umezorota namna hii? Wanetu wapendwa hawa. Walinzi wa mipaka na uhai wetu. Mashujaa wetu. Majuzi tu hapa walikuwa admired na kupendwa sana lakini sasa wakipita huku mitaani watu ni kusonya tu na kutema mate. Je, D9 watasimama katika zamu yao kama walinzi wa amani na raia au watawatelekeza tena raia wauwawe kama kondoo pamoja na kuahidi maandamano ya amani?

Naam! Mambo yamebadilika . Hawa ni Watanzania wapya . Hawaogopi tena wala hawatishwi na nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa. Viongozi wetu inabidi walitambue hili na watumie dialogue na ushawishi badala ya vitisho na maguvu tu. Kwa hakika hizi ni zama mpya!
IMG-20251130-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom