PostGE2025 Nilichokiona Jana Kimeniogopesha. Watanzania Wamebadilika Sana!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Jana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa...

Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa wametoka nje ya soko wakawa wanawaangalia. Mara watu wakaanza kuzomea. Tena wengine akina mama watu wazima. Hamtutishi kwa lo lote! Wapuuzi nyie. Kama kweli wanaume shukeni hapa wasaliti wakubwa nyinyi.... Vijana ndiyo kabisasaa. Wakawa wanaporomosha matusi. Lihelikopta likaendelea kuzunguka!

Nilipoingia barabarani mara paap nikakutana na mtiti wa CDF nadhani. Landcruisers 4 zina namba za JW vioo tinted vimulimuli kama vyote na bendera zinapepea. Mbele na nyuma kuna open Defenders wamekaa wajeda wamevaa full kivita mpaka nyuso wamefunika. Na penyewe mambo yakawa ni yale yale. Watu wakaanza kupiga miluzi na kuzomea. Haooo wakatokomea zao.

Nilitoka pale nikiwa na mawazo tele. Watanzania hawa wamekuwaje hawa? Ina maana hawaogopi tena? Kwa nini uhusiano kati ya raia na wapasua matofali umezorota namna hii? Wanetu wapendwa hawa. Walinzi wa mipaka na uhai wetu. Mashujaa wetu. Majuzi tu hapa walikuwa admired na kupendwa sana lakini sasa wakipita huku mitaani watu ni kusonya tu na kutema mate. Je, D9 watasimama katika zamu yao kama walinzi wa amani na raia au watawatelekeza tena raia wauwawe kama kondoo pamoja na kuahidi maandamano ya amani?

Naam! Mambo yamebadilika . Hawa ni Watanzania wapya . Hawaogopi tena wala hawatishwi na nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa. Viongozi wetu inabidi walitambue hili na watumie dialogue na ushawishi badala ya vitisho na maguvu tu (kama ambavyo askofu Bagonza amekuwa akishauri mara Kwa mara). Kwa hakika hizi ni zama mpya! Hata Mzee Kenyatta aliyewahi kusema kuwa eti Watanzania ni sawa na maiti akifufuka leo atashangaa sana!
Ahadi ya kisasi cha Kanali Polepole na busu lake kwa mamba, limeleta taharuki kubwa kwa viongozi wa wajeda.
 
Hao wapuuzi wote wakipelekwa uwanja wa vita wanauawa kama mbu, juzi kati tuu hapa kagame amewazalilisha live live ila huku uraiani wanajifanya wataalamu.

🤣🤣🤣 Jamaa walikuwa Wana sachiwa kama *******

Ule ulikuwa ni udhalilishaji. Jeshi la sita kwa ubora duniani halikustahili kufanyiwa hivyo!
Hivi hiyo video ya kusachiwa iko wapi? Sijawahi kuiona ingawa nilishasikia hilo jambo kutokea.

Naomba link.
 
🤣🤣 Jeshi la sita tena !? Nani aliwahi kusema hivyo !? My foot!!

Jeshi la sita? Sita ipi hiyo? hao ukiwapambanisha na jeshi la Abdul na mchengerwa hao JW wanakalishwa ndani ya siku tatu tu, si uliona walivyoufyata kuanzia October 29 mpaka Nov 2 janjaweed wakiuwa watu hovyo hovyo nchi nzima?
Naona hii iliwapita. Hata humu JF ukitafuta "Jeshi la sita kwa ubora duniani" utakutana na mada nyingi tu. Ni kweli. Jeshi letu ni la sita kwa ubora duniani labda kama limeshuka ubora kidogo baada ya Okt 29 👏👏👏👏

View attachment 3509600
Nchi hii Kila kitu siasa mpaka jeshi linafanya siasa 🤣🤣🤣
 
Jana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa...

Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa wametoka nje ya soko wakawa wanawaangalia. Mara watu wakaanza kuzomea. Tena wengine akina mama watu wazima. Hamtutishi kwa lo lote! Wapuuzi nyie. Kama kweli wanaume shukeni hapa wasaliti wakubwa nyinyi.... Vijana ndiyo kabisasaa. Wakawa wanaporomosha matusi. Lihelikopta likaendelea kuzunguka!

Nilipoingia barabarani mara paap nikakutana na mtiti wa CDF nadhani. Landcruisers 4 zina namba za JW vioo tinted vimulimuli kama vyote na bendera zinapepea. Mbele na nyuma kuna open Defenders wamekaa wajeda wamevaa full kivita mpaka nyuso wamefunika. Na penyewe mambo yakawa ni yale yale. Watu wakaanza kupiga miluzi na kuzomea. Haooo wakatokomea zao.

Nilitoka pale nikiwa na mawazo tele. Watanzania hawa wamekuwaje hawa? Ina maana hawaogopi tena? Kwa nini uhusiano kati ya raia na wapasua matofali umezorota namna hii? Wanetu wapendwa hawa. Walinzi wa mipaka na uhai wetu. Mashujaa wetu. Majuzi tu hapa walikuwa admired na kupendwa sana lakini sasa wakipita huku mitaani watu ni kusonya tu na kutema mate. Je, D9 watasimama katika zamu yao kama walinzi wa amani na raia au watawatelekeza tena raia wauwawe kama kondoo pamoja na kuahidi maandamano ya amani?

Naam! Mambo yamebadilika . Hawa ni Watanzania wapya . Hawaogopi tena wala hawatishwi na nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa. Viongozi wetu inabidi walitambue hili na watumie dialogue na ushawishi badala ya vitisho na maguvu tu (kama ambavyo askofu Bagonza amekuwa akishauri mara Kwa mara). Kwa hakika hizi ni zama mpya! Hata Mzee Kenyatta aliyewahi kusema kuwa eti Watanzania ni sawa na maiti akifufuka leo atashangaa sana!
Endeleeni kuwajaza upepo wen wenzenu. Humu jamii forums kila member aliyejifanya ataingia yuko Hai ushahidi kuwa mnawajaza upepo wenzenu
 
Dar es salaam ni ndogo. Mbeya Pakubwa, Mwanza Pakubwa....ndiyo maana wachezaji wakiona wamezidiwa wajaa kwenye robo ya mwisho ya Uwanja golini mwao ili wasifugwe. Ni rahisi kudhibiti eneo dogo....Ni Arsenal tu ndiyo hawajali una eneo dogo ama la!! Nimeeleweka aisee.
 
Jana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa...

Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa wametoka nje ya soko wakawa wanawaangalia. Mara watu wakaanza kuzomea. Tena wengine akina mama watu wazima. Hamtutishi kwa lo lote! Wapuuzi nyie. Kama kweli wanaume shukeni hapa wasaliti wakubwa nyinyi.... Vijana ndiyo kabisasaa. Wakawa wanaporomosha matusi. Lihelikopta likaendelea kuzunguka!

Nilipoingia barabarani mara paap nikakutana na mtiti wa CDF nadhani. Landcruisers 4 zina namba za JW vioo tinted vimulimuli kama vyote na bendera zinapepea. Mbele na nyuma kuna open Defenders wamekaa wajeda wamevaa full kivita mpaka nyuso wamefunika. Na penyewe mambo yakawa ni yale yale. Watu wakaanza kupiga miluzi na kuzomea. Haooo wakatokomea zao.

Nilitoka pale nikiwa na mawazo tele. Watanzania hawa wamekuwaje hawa? Ina maana hawaogopi tena? Kwa nini uhusiano kati ya raia na wapasua matofali umezorota namna hii? Wanetu wapendwa hawa. Walinzi wa mipaka na uhai wetu. Mashujaa wetu. Majuzi tu hapa walikuwa admired na kupendwa sana lakini sasa wakipita huku mitaani watu ni kusonya tu na kutema mate. Je, D9 watasimama katika zamu yao kama walinzi wa amani na raia au watawatelekeza tena raia wauwawe kama kondoo pamoja na kuahidi maandamano ya amani?

Naam! Mambo yamebadilika . Hawa ni Watanzania wapya . Hawaogopi tena wala hawatishwi na nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa. Viongozi wetu inabidi walitambue hili na watumie dialogue na ushawishi badala ya vitisho na maguvu tu (kama ambavyo askofu Bagonza amekuwa akishauri mara Kwa mara). Kwa hakika hizi ni zama mpya! Hata Mzee Kenyatta aliyewahi kusema kuwa eti Watanzania ni sawa na maiti akifufuka leo atashangaa sana!
Wahenga walishasema kila wakati na zama zake
 
Watu walipata Bunduki askari na wanajeshi watapukutuka, na Kwa huu mpasuko Bunduki watazipata
Wapi, watazipata wapi? Ukipata bunduki maana Yake watatakiwa pia kuwa na unlimited risasi ili ifanye kazi. Unaona kuna unahisi hapo!?
 
Inawezekana huko ndani kuna mapandikizi, wanakuwa wanaogopana wao kwa wao kwenda tofauti.
 
Jwtz imejaa mashoga hawana nguvu tena, wamebakiza uchawa tu.
 
Jana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa...

Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa wametoka nje ya soko wakawa wanawaangalia. Mara watu wakaanza kuzomea. Tena wengine akina mama watu wazima. Hamtutishi kwa lo lote! Wapuuzi nyie. Kama kweli wanaume shukeni hapa wasaliti wakubwa nyinyi.... Vijana ndiyo kabisasaa. Wakawa wanaporomosha matusi. Lihelikopta likaendelea kuzunguka!

Nilipoingia barabarani mara paap nikakutana na mtiti wa CDF nadhani. Landcruisers 4 zina namba za JW vioo tinted vimulimuli kama vyote na bendera zinapepea. Mbele na nyuma kuna open Defenders wamekaa wajeda wamevaa full kivita mpaka nyuso wamefunika. Na penyewe mambo yakawa ni yale yale. Watu wakaanza kupiga miluzi na kuzomea. Haooo wakatokomea zao.

Nilitoka pale nikiwa na mawazo tele. Watanzania hawa wamekuwaje hawa? Ina maana hawaogopi tena? Kwa nini uhusiano kati ya raia na wapasua matofali umezorota namna hii? Wanetu wapendwa hawa. Walinzi wa mipaka na uhai wetu. Mashujaa wetu. Majuzi tu hapa walikuwa admired na kupendwa sana lakini sasa wakipita huku mitaani watu ni kusonya tu na kutema mate. Je, D9 watasimama katika zamu yao kama walinzi wa amani na raia au watawatelekeza tena raia wauwawe kama kondoo pamoja na kuahidi maandamano ya amani?

Naam! Mambo yamebadilika . Hawa ni Watanzania wapya . Hawaogopi tena wala hawatishwi na nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa. Viongozi wetu inabidi walitambue hili na watumie dialogue na ushawishi badala ya vitisho na maguvu tu (kama ambavyo askofu Bagonza amekuwa akishauri mara Kwa mara). Kwa hakika hizi ni zama mpya! Hata Mzee Kenyatta aliyewahi kusema kuwa eti Watanzania ni sawa na maiti akifufuka leo atashangaa sana!
Aisee
 
Back
Top Bottom