PostGE2025 Nilichokiona Jana Kimeniogopesha. Watanzania Wamebadilika Sana!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Viongozi wetu inabidi walitambue hili na watumie dialogue na ushawishi badala ya vitisho na maguvu tu
Hadithi nzuri ya kuchangamsha na kutia moyo kwa wakombozi wa taifa hili.

Lakini wakati huo huo, naona kama nawe unajisahau.

Unawazungumzia "viongozi wenu" wapi unaotaka mkafanye nao 'dialogue" na ushawishi?
Ina maana 'dialogue na ushawishi" aliokwisha uonyesha Samia Suluhu Hassan hadi sasa bado huuamini?
Unataka akuonyeshe kitu gani zaidi ndipo uamini maana yake ya "dialogue na ushawishi"?

Kama bado hadi wakati huu unaamini unaweza kufanya mazungumzo yoyote na mkaelewana na Samia, ni wazi wewe utakuwa siyo mtu makini kabisa.

Najuwa lengo lako siyo kuwaondoa kwenye mstari Gen Z na wapigania ukombozi mbalimbali wanaojali hatma ya taifa hili; lakini ni ushauri tu kuwa na uangalifu mkubwa unapowasilisha mada za namna hii. Hii ni saa mbaya kabisa kujaribu kuchanganya watu.
 
Waliruhusu watu mtaani kuuawa ovyo ovyo kama kuku tu, acha watu wawazomee tu, heshima yao imeshuka sana,na kila anaekubali kutumika na mafisiemu heshima na legacy ambayo alkua ameweka inapotea kabisa
Yani bola wangekaa tuu makambini , wasingekuja barabarani watu tungejua tu kuwa wanajeshi hawakuwepo. Basi
 
Hii ni saa mbaya kabisa kujaribu kuchanganya watu.
Hao watu hawana akili mpaka niwachanganye? Au na wewe ni mmojawapo wa wanaoamini kwamba vijana wanaandamana kwa sababu eti wanashawishiwa na Mange Kimambi utafikiri wenyewe ni maroboti tu hayana akili?
 
Sijawahi kuwa na mawazo ya namna hiyo hata siku moja; ninachojuwa kuna juhudi kubwa sana za kuvuruga akili za waTanzania wakati huu wasikaze kamba ya kuwanyonga hawa mashetani. Juhudi hizo zinakuja kwa njia mbalimbali; moja ikiwa ni hiyo ya kuvuruga akili za baadhi ya vijana..

Kazia sehemu ya andiko lako niliyoinyanyua.

Niseme tu, sina tatizo na msimamo wako.
 
D9 ni kuwapora siraha tujilinde,hakuna kutegemea JW tena ,ikipatikana nafasi ya kuwapora siraha hao na polisi itafaa sana,nao waone risasi inafanyaje
 
Jana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wetu wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa...

Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa wametoka nje ya soko wakawa wanawaangalia. Mara watu wakaanza kuzomea. Tena wengine akina mama watu wazima. Hamtutishi kwa lo lote! Wapuuzi nyie. Kama kweli wanaume shukeni hapa wasaliti wakubwa nyinyi.... Vijana ndiyo kabisasaa. Wakawa wanaporomosha matusi. Lihelikopta likaendelea kuzunguka!

Nilipoingia barabarani mara paap nikakutana na mtiti wa CDF nadhani. Landcruisers 4 zina namba za JW vioo tinted vimulimuli kama vyote na bendera zinapepea. Mbele na nyuma kuna open Defenders wamekaa wapasua matofali wamevaa full kivita mpaka nyuso wamefunika. Na penyewe mambo yakawa ni yale yale. Watu wakaanza kupiga miluzi na kuzomea. Haooo wakatokomea zao.

Nilitoka pale nikiwa na mawazo tele. Watanzania hawa wamekuwaje hawa? Ina maana hawaogopi tena? Kwa nini uhusiano kati ya raia na wapasua matofali umezorota namna hii? Wanetu wapendwa hawa. Walinzi wa mipaka na uhai wetu. Mashujaa wetu. Majuzi tu hapa walikuwa admired na kupendwa sana lakini sasa wakipita huku mitaani watu ni kusonya tu na kutema mate. Je, D9 watasimama katika zamu yao kama walinzi wa amani na raia au watawatelekeza tena raia wauwawe kama kondoo pamoja na kuahidi maandamano ya amani?

Naam! Mambo yamebadilika . Hawa ni Watanzania wapya . Hawaogopi tena wala hawatishwi na nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa. Viongozi wetu inabidi walitambue hili na watumie dialogue na ushawishi badala ya vitisho na maguvu tu (kama ambavyo askofu Bagonza amekuwa akishauri mara Kwa mara). Kwa hakika hizi ni zama mpya! Hata Mzee Kenyatta aliyewahi kusema kuwa eti Watanzania ni sawa na maiti akifufuka leo atashangaa sana!
Jeshi la Machawa
 
Ganjafarmer
Screenshot_20251119-103538~2.png
 
Hiyo gari ya nyota nne ya wapuuzi kutoka JWTZ ilinipita maeneo ya Urafiki Dar ikiwa inatumia njia ya mwendokasi. Wananchi wanawaona wanajeshi kama vikaragosi flani hivi

Viongozi badilikeni nyakati zinabadilika ila nyie mmebaki kama mawe.
Wananchi wamewakataa.
 
Kabla ya gari ya CDF kupita ilipita Helkopta ya Jeshi ilitembea chini kabisa, nikasikia majamaa wakisema hatukutembea na kombeo tungewatungua hawa wapuuzi.
 
Hiyo gari ya nyota nne ya wapuuzi kutoka JWTZ ilinipita maeneo ya Urafiki Dar ikiwa inatumia njia ya mwendokasi. Wananchi wanawaona wanajeshi kama vikaragosi flani hivi

Viongozi badilikeni nyakati zinabadilika ila nyie mmebaki kama mawe.
Wananchi wamewakataa.
Ndiyo wenyewe. Ulikuwa mtiti hasa vurugu kama zote. Raia wanasonya tu na kutema mate!
 
Jana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wetu wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa...

Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa wametoka nje ya soko wakawa wanawaangalia. Mara watu wakaanza kuzomea. Tena wengine akina mama watu wazima. Hamtutishi kwa lo lote! Wapuuzi nyie. Kama kweli wanaume shukeni hapa wasaliti wakubwa nyinyi.... Vijana ndiyo kabisasaa. Wakawa wanaporomosha matusi. Lihelikopta likaendelea kuzunguka!

Nilipoingia barabarani mara paap nikakutana na mtiti wa CDF nadhani. Landcruisers 4 zina namba za JW vioo tinted vimulimuli kama vyote na bendera zinapepea. Mbele na nyuma kuna open Defenders wamekaa wapasua matofali wamevaa full kivita mpaka nyuso wamefunika. Na penyewe mambo yakawa ni yale yale. Watu wakaanza kupiga miluzi na kuzomea. Haooo wakatokomea zao.

Nilitoka pale nikiwa na mawazo tele. Watanzania hawa wamekuwaje hawa? Ina maana hawaogopi tena? Kwa nini uhusiano kati ya raia na wapasua matofali umezorota namna hii? Wanetu wapendwa hawa. Walinzi wa mipaka na uhai wetu. Mashujaa wetu. Majuzi tu hapa walikuwa admired na kupendwa sana lakini sasa wakipita huku mitaani watu ni kusonya tu na kutema mate. Je, D9 watasimama katika zamu yao kama walinzi wa amani na raia au watawatelekeza tena raia wauwawe kama kondoo pamoja na kuahidi maandamano ya amani?

Naam! Mambo yamebadilika . Hawa ni Watanzania wapya . Hawaogopi tena wala hawatishwi na nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa. Viongozi wetu inabidi walitambue hili na watumie dialogue na ushawishi badala ya vitisho na maguvu tu (kama ambavyo askofu Bagonza amekuwa akishauri mara Kwa mara). Kwa hakika hizi ni zama mpya! Hata Mzee Kenyatta aliyewahi kusema kuwa eti Watanzania ni sawa na maiti akifufuka leo atashangaa sana!
We jipe moyo halafu baadhi ya wakenya na hao majambazi waje tena kujaribu kuchoma nchi yetu waone
Safari hii mtakiona.

Eti maiti kafufuka.
Teh teh teh
 
Back
Top Bottom