PostGE2025 Nilichokiona Jana Kimeniogopesha. Watanzania Wamebadilika Sana!

PostGE2025 Nilichokiona Jana Kimeniogopesha. Watanzania Wamebadilika Sana!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Na lini umewahi kuskia mtu kashikwa kwa kuingizs silaha nchini!? Hujawahi kuskia...unadhan ni kwanini!? Kwa sabab hakuna faida/maslahi yoyote kufanya hivyo na ni risk kuliko unga.
Hakukuwa na huo uhitaji. Hata hivyo hujawahi kusikia raia wanamiliki silaha?
 
Hakukuwa na huo uhitaji. Hata hivyo hujawahi kusikia raia wanamiliki silaha?
Nani ana huo huitaji? Hata wewe ungekuwa unamiliki silaha kihalali huwez kuthubutu kuitumia kwenye vurugu hizi mzee. Utakamatwa mapemaaaa
 
Nani ana huo huitaji? Hata wewe ungekuwa unamiliki silaha kihalali huwez kuthubutu kuitumia kwenye vurugu hizi mzee. Utakamatwa mapemaaaa
Yaani utumie silaha katika mazingira haya kisha utumie silaha halali? Boss unajua unachokiongea? Kwahiyo M23 huko DRC wanatumia silaha halali?
 
Hawali hela za bure. Makambini huko huwa wanafagia, kufyeka na kutunza bustani. Na jioni wanajimwaga baa kugombania machangudoa!
Aisee hao jamaa maisha yao ni ya ajabu sana.

Mimi nimewahi kuwa na demu mjeda aisee alikuwa anapenda sana pombe na ngono, mpaka nikaona nimkimbie mimi mwenyewe.

Na nilikuwa nalike status zake, lakini baada ya 29October nimeamua kumblock kabisa, maana na yeye ameingia rasimi kwenye kundi la wajinga.
 
Yaani utumie silaha katika mazingira haya kisha utumie silaha halali? Boss unajua unachokiongea? Kwahiyo M23 huko DRC wanatumia silaha halali?
Muasi daima yupo sponsored from within na outsiders, wewe je??? Ni muasi? Look sidharau unachosema ila ni vzuri tujadili kwa uhalisia zaidi.
 
Wanajeshi ndiyo waliingiza watu mkenge MO29. Wananchi tusimame sisi kama sisi. Najua tunakoelekea tutakuja kupata mitutu na hii nchi haitakua Tanzania tena💔
bunduki haziwezi kupenya tz kamwe
 
Back
Top Bottom