Hadithi nzuri ya kuchangamsha na kutia moyo kwa wakombozi wa taifa hili.Viongozi wetu inabidi walitambue hili na watumie dialogue na ushawishi badala ya vitisho na maguvu tu
Mwambie tu huyo kilaza, zipo nyingi sana; tena ni hizo hizo zinazotumiwa na hao waliolipwa kuwasaliti waTanzania. Zitatoka mikononi mwao na kuingia mikononi mwa wapigania ukombozi wa nchi hii.Kama unga ni haramu dunia nzima na bado unaingia, itakuwa bunduki na risasi?
Yani bola wangekaa tuu makambini , wasingekuja barabarani watu tungejua tu kuwa wanajeshi hawakuwepo. BasiWaliruhusu watu mtaani kuuawa ovyo ovyo kama kuku tu, acha watu wawazomee tu, heshima yao imeshuka sana,na kila anaekubali kutumika na mafisiemu heshima na legacy ambayo alkua ameweka inapotea kabisa
Sahihi kabisa,kulicho walichokifanya,kimeshusha heshima yao sanaYani bola wangekaa tuu makambini , wasingekuja barabarani watu tungejua tu kuwa wanajeshi hawakuwepo. Basi
Hao watu hawana akili mpaka niwachanganye? Au na wewe ni mmojawapo wa wanaoamini kwamba vijana wanaandamana kwa sababu eti wanashawishiwa na Mange Kimambi utafikiri wenyewe ni maroboti tu hayana akili?Hii ni saa mbaya kabisa kujaribu kuchanganya watu.
Sijawahi kuwa na mawazo ya namna hiyo hata siku moja; ninachojuwa kuna juhudi kubwa sana za kuvuruga akili za waTanzania wakati huu wasikaze kamba ya kuwanyonga hawa mashetani. Juhudi hizo zinakuja kwa njia mbalimbali; moja ikiwa ni hiyo ya kuvuruga akili za baadhi ya vijana..Hao watu hawana akili mpaka niwachanganye? Au na wewe ni mmojawapo wa wanaoamini kwamba vijana wanaandamana kwa sababu eti wanashawishiwa na Mange Kimambi utafikiri wenyewe ni maroboti tu hayana akili?
Msaliti wa Watanganyika!View attachment 3509520
Jeshi la MachawaJana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wetu wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa...
Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa wametoka nje ya soko wakawa wanawaangalia. Mara watu wakaanza kuzomea. Tena wengine akina mama watu wazima. Hamtutishi kwa lo lote! Wapuuzi nyie. Kama kweli wanaume shukeni hapa wasaliti wakubwa nyinyi.... Vijana ndiyo kabisasaa. Wakawa wanaporomosha matusi. Lihelikopta likaendelea kuzunguka!
Nilipoingia barabarani mara paap nikakutana na mtiti wa CDF nadhani. Landcruisers 4 zina namba za JW vioo tinted vimulimuli kama vyote na bendera zinapepea. Mbele na nyuma kuna open Defenders wamekaa wapasua matofali wamevaa full kivita mpaka nyuso wamefunika. Na penyewe mambo yakawa ni yale yale. Watu wakaanza kupiga miluzi na kuzomea. Haooo wakatokomea zao.
Nilitoka pale nikiwa na mawazo tele. Watanzania hawa wamekuwaje hawa? Ina maana hawaogopi tena? Kwa nini uhusiano kati ya raia na wapasua matofali umezorota namna hii? Wanetu wapendwa hawa. Walinzi wa mipaka na uhai wetu. Mashujaa wetu. Majuzi tu hapa walikuwa admired na kupendwa sana lakini sasa wakipita huku mitaani watu ni kusonya tu na kutema mate. Je, D9 watasimama katika zamu yao kama walinzi wa amani na raia au watawatelekeza tena raia wauwawe kama kondoo pamoja na kuahidi maandamano ya amani?
Naam! Mambo yamebadilika . Hawa ni Watanzania wapya . Hawaogopi tena wala hawatishwi na nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa. Viongozi wetu inabidi walitambue hili na watumie dialogue na ushawishi badala ya vitisho na maguvu tu (kama ambavyo askofu Bagonza amekuwa akishauri mara Kwa mara). Kwa hakika hizi ni zama mpya! Hata Mzee Kenyatta aliyewahi kusema kuwa eti Watanzania ni sawa na maiti akifufuka leo atashangaa sana!
sasa we unadhani huyo ana mamlaka? He is just a puppet! Mwenye mamlaka na sauti alilazimishwa kustaafu baada ya kukemea upuuzi hivyo akatolewa ili awekwe mtu ambae hawezi mpinga mama la mama! #D9 its HOT its FIREEE!Msaliti wa Watanganyika!View attachment 3509520
Kuna mmoja alikuwa kasimama stand kavaa kofia nyeusi kainama chini Kwa aibuWatu wamewadharau sana JWTZ, sijui watarudisha vipi heshima yao
Hiyo gari ya nyota nne ya wapuuzi kutoka JWTZ ilinipita maeneo ya Urafiki Dar ikiwa inatumia njia ya mwendokasi. Wananchi wanawaona wanajeshi kama vikaragosi flani hiviJana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wetu wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa...
Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa wametoka nje ya soko wakawa wanawaangalia. Mara watu wakaanza kuzomea. Tena wengine akina mama watu wazima. Hamtutishi kwa lo lote! Wapuuzi nyie. Kama kweli wanaume shukeni hapa wasaliti wakubwa nyinyi.... Vijana ndiyo kabisasaa. Wakawa wanaporomosha matusi. Lihelikopta likaendelea kuzunguka!
Nilipoingia barabarani mara paap nikakutana na mtiti wa CDF nadhani. Landcruisers 4 zina namba za JW vioo tinted vimulimuli kama vyote na bendera zinapepea. Mbele na nyuma kuna open Defenders wamekaa wapasua matofali wamevaa full kivita mpaka nyuso wamefunika. Na penyewe mambo yakawa ni yale yale. Watu wakaanza kupiga miluzi na kuzomea. Haooo wakatokomea zao.
Nilitoka pale nikiwa na mawazo tele. Watanzania hawa wamekuwaje hawa? Ina maana hawaogopi tena? Kwa nini uhusiano kati ya raia na wapasua matofali umezorota namna hii? Wanetu wapendwa hawa. Walinzi wa mipaka na uhai wetu. Mashujaa wetu. Majuzi tu hapa walikuwa admired na kupendwa sana lakini sasa wakipita huku mitaani watu ni kusonya tu na kutema mate. Je, D9 watasimama katika zamu yao kama walinzi wa amani na raia au watawatelekeza tena raia wauwawe kama kondoo pamoja na kuahidi maandamano ya amani?
Naam! Mambo yamebadilika . Hawa ni Watanzania wapya . Hawaogopi tena wala hawatishwi na nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa. Viongozi wetu inabidi walitambue hili na watumie dialogue na ushawishi badala ya vitisho na maguvu tu (kama ambavyo askofu Bagonza amekuwa akishauri mara Kwa mara). Kwa hakika hizi ni zama mpya! Hata Mzee Kenyatta aliyewahi kusema kuwa eti Watanzania ni sawa na maiti akifufuka leo atashangaa sana!
Kabla ya gari ya CDF kupita ilipita Helkopta ya Jeshi ilitembea chini kabisa, nikasikia majamaa wakisema hatukutembea na kombeo tungewatungua hawa wapuuzi.Hiyo gari ya nyota nne ya wapuuzi kutoka JWTZ ilinipita maeneo ya Urafiki Dar ikiwa inatumia njia ya mwendokasi. Wananchi wanawaona wanajeshi kama vikaragosi flani hivi
Viongozi badilikeni nyakati zinabadilika ila nyie mmebaki kama mawe.
Wananchi wamewakataa.
Ndiyo wenyewe. Ulikuwa mtiti hasa vurugu kama zote. Raia wanasonya tu na kutema mate!Hiyo gari ya nyota nne ya wapuuzi kutoka JWTZ ilinipita maeneo ya Urafiki Dar ikiwa inatumia njia ya mwendokasi. Wananchi wanawaona wanajeshi kama vikaragosi flani hivi
Viongozi badilikeni nyakati zinabadilika ila nyie mmebaki kama mawe.
Wananchi wamewakataa.
We jipe moyo halafu baadhi ya wakenya na hao majambazi waje tena kujaribu kuchoma nchi yetu waoneJana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wetu wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa...