Nilichomfanyia huyu dada mpenda fedha kitamuathiri kisaikolojia kwa miaka mingi

Yaani 10 tu we jamaa bhana...sijaona tatizo la huyo manzi..ila we ndo tatizo
 
We nae hebu acha ushamba, kula mzigo huo[emoji57][emoji57]
 
Unamkomoa bar maid! Hongera kwa kuwa na mil 5 ya kupigia video call
 
Alimaanisha mpenzi mtoa misaada😀😀
 
Ulijua utasifiwa vimekugeuka..huijui jf wewe...Hafu huna pesa wewe
 
Haki comments za wanaume wengi kwenye huu uzi zimenifanya nijue kuwa kumbe humu bado wapo wanaume wanaojitambua maana nilishaanza kupata mashaka! Mtoa mada pole sana aise haya ni maisha tu ndugu yangu!
 
Utoto raha.
Sasa hizo milioni tano ushazipeleka kwa wenyewe au unasubiri kukabwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah wallahi nimecheka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daddy naomba hilo pepo chafu la usaliti lishiiiiiiindwe na lilegee kabisa 'shika raba yako nipe sendo yangu'
 
@Karma come read this.

Babe nina shida kweli.
Hii tabia yako wala sijaipenda[emoji39], unamuitaje dogo asome upupu wa daddy yake.
Anakuteteaga sana, sasa nataka aone madudu yako.

Kwani hiyo shida yangu hujaiona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila funguo za zipu yangu si unazo?

Wewe tena, sema shida yako japo hapa nina buku mbili ya kuanzia asubuhi...
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndiyo raha ya kupata wazazi macomedian
 
Ulimpenda? Au nia ya mahusiano ilikuwa nini?
 
Si ulisema unataka kumsaidia?
Ama msaada wa maneno?.
 
Bro kama sio utoto sijui, mtu kuhonga buku kumi to 20k unakuja kufungua uzi?, Unatuangusha sana wanaume wenzako, huwezi kua na 5M ukatoa 20k ukamfungulia mtu uzi
 
Hongera sana .Endeleza hivyohvyo Bora wazazi wapate sio hawa wa kusema "Awww thanks beiby".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…