sikupekua mpendwa ila nlimvua akaoge pia hata nisingemvua ningeona wakat wa kumfulia,
Anipe mahela aone, nambeba mgongoni, thubutuuuuuu!! Kwani yeye kiwete!
Aiseee daah, nadhani nianze kutafuta mke mwingine wa hivi nami nihudumiwe hivi, loh
cc atoto, Heaven Sent
Hahaaaa acha hizo sista, wajibika bwana mume aone raha ya kuwa nawe
Heeeee, unamvua na kumpeleka bafuni?hakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun
Amani ya Mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.
Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa furaha, naye mwenyewe aliyakubali yote niliyokua nafanya.
Sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke.Nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.
Naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka.
Uhudumiwe kwani wewe mlemavu?
Wajibu wangu ni kuzaa tu, hayo mengine hayanihusu.
Duh, basi haya bwana sista
hakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun
Hahahhaha yani my kaka, Kila nikijifanyia tathmini, naona ngoja niendelee kuwepo kidogo. Maana naona bado ni "bure kabisa". Mnaogeshwa sijui kuimbiwa mijisong!!! Teh teh tehDuh, kuna wanaume wanalelewa ova mtoto, hapa nadhani hata Evelyn Salt haoni ndani
Dadaangu atoto na Heaven Sent nanyi mna ma-care haya?
Hehhehe uwe nao wawili eeh, huyu anakubeba kwenda bafuni, mwingine anakubeba kukurudisha chumbani teh tehAiseee daah, nadhani nianze kutafuta mke mwingine wa hivi nami nihudumiwe hivi, loh
cc atoto, Heaven Sent
hakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun
Hahahhaha yani my kaka, Kila nikijifanyia tathmini, naona ngoja niendelee kuwepo kidogo. Maana naona bado ni "bure kabisa". Mnaogeshwa sijui kuimbiwa mijisong!!! Teh teh teh
Hehhehe uwe nao wawili eeh, huyu anakubeba kwenda bafuni, mwingine anakubeba kukurudisha chumbani teh teh
Pole sana, msamehe tu, wanaume karibu wote tuko hivyo! Kila wanaume 9 katika 10 ni watumwa wa ngono! Kwa kifupi wanaume tunawaka sana tamaa. Kuna mwenzio juzi tumeambiwa katelekeza mke na watoto watatu kisa tu toto la kihaya!