Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

Ndio maana kakuambia fikiria utakavyoamini iwe juu yako mwenyewe. Wewe kwa hatua ya kwenda kukagua nguo yake ya ndani ulishamwazia mwenzio vibaya. Yeye mara ngapi ameshakagua nguo yako ya ndani unapofika tu nyumbani au ukienda kuoga? Si mnavulia huko huko bafuni? Hakupendezwa na tabia hiyo mpya ndio maana kakupa jibu hilo. Hata hivyo sio lazima awe ametembea nje ya ndoa kwani kuna wanaume wengine matamanio yakizidi wazungu hutoka tu. Hapo itakubidi usamehe bure tu nae aache ubwege awe anaingia bafuni na kyupi kwani haya mataulo yakiachia hujafika bafuni ni senema nyingine uswahilini.
 
Mpe semina awe tuu anatumia condom asije akazoa wadudu tuu, lkn hilo la kula nje si rahisi aache
 
Ingewezekana taasisi ya ndoa ifutwe ili tujue moja kuwa sasa ni mwendo wa fungulia dog!! Lol

Ukiwaza sana unaweza kuopt kuwa mchepuko wallah maana michepuko inafaidi kuliko hata walioko kwenye ndoa.
Ndoa si kitu kibaya, sisi ndo tunaifanya ndoa ionekane mbaya na ngumu, ingawa changamoto za hapa na pale hazipatikani

Mmh kuwa mchepuko kunahitaji moyo na kujitoa ufahamu. Kuna raha ya kuwa mmiliki halali bana
 
Namba moja hapo, acha upimbi kuwasemea wanaume wote, some men are loyal to their partners. Usipende kujilinganisha na wenzako, kwamba kwa vile unakula tigo...basi wote tunafanya huo ufuska.
Semea nafsi yako kiongozi.
 
First lady toka awamu ifikie ukingon hana kazi ya kufanya.sasa kapata muda wa kuja kushitaki huku jf.
 
Ndio hivyo, nikiachika narudi kwa kaka yangu.

Haina shida kabisa, you are warmly welcome. Sema uzoefu unaonyesha mtu aliyezoea kwake ni ngumu sana kulelewa
 
Aisee noma nakwambia, ahaaaa umenichekesha eti bado upo upo kidogo loh!!

BTW kuna wanawake wanajitoa kweli kweli kumbe, daah!!
 
Haina shida kabisa, you are warmly welcome. Sema uzoefu unaonyesha mtu aliyezoea kwake ni ngumu sana kulelewa

Itabidi tu maana hamna namna.
 
Namba moja hapo, acha upimbi kuwasemea wanaume wote, some men are loyal to their partners. Usipende kujilinganisha na wenzako, kwamba kwa vile unakula tigo...basi wote tunafanya huo ufuska.
Semea nafsi yako kiongozi.

Mkuu mimi ni mkristo nilikuwa najaribu kusema ukweli japo kwa leo jpili.
 
Lakini why wajameni upekue pichu ya mwenzio?? Wakati mwingine mkiishi sana kwa amani mnaanza tafuta vijisababu

Uko sahihi kabisa, Me Amani ikizidi huwa natafuta vita. Tunatifuana kidogo then tunaombana msamaha, maisha yanaendelea. Hahahha Mapenzi sometimes jamani!
 
Aisee noma nakwambia, ahaaaa umenichekesha eti bado upo upo kidogo loh!!

BTW kuna wanawake wanajitoa kweli kweli kumbe, daah!!
Yani Nikiwaza watu wanavyojitoa afu nikijiangalia na hii akili yangu nusu na robo, nabaki kucheka ujue. Ngoja niendelee kujifunza khaa
 
Muombe mwenyezi akusaidie kuvumilia na kunyamaza ili ufanye maamuzi sahihi. Usimuulize tena na wala usionyeshe kuumia, pretend uko normal ili impein na atakwambia nini tatizo
 
Acha kupotosha bana, kama we ndo uko hivyo usitujumuishe wanaume wote
 
Yani Nikiwaza watu wanavyojitoa afu nikijiangalia na hii akili yangu nusu na robo, nabaki kucheka ujue. Ngoja niendelee kujifunza khaa

Hahaaaa haya bwana, yaani acha kabisa

Ila yote tisa, kumi inategemea na mwanaume mwenyewe, mi siwezi kukubali kufanyiwa makitu kama hayo, so I will definately discourage you hata kama una moyo wa kunifanyia, utaacha tu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…