Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Kahawa ya baridi hii
 
love ni scam dunia ya leo mapenzi yamekua utapeli au ni kama kamari

uwezekano wa kuwin true love ni mdogo sana .

ushauri mwanaume oa mwanamke kwa target moja tu akuzalie watoto ambao ni damu yako waendeleze kizazi chako
Mwanaume kama.hutaki kuoa basi jiandae kuolewa
 
Ngoja siku utombew(e) ndio utatuelewa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hilo kosa ni ngumu kwangu kumsamehe Mwanamke kama nikigundua kwa uhakika kabisa na naomba nikioa yasinikute hayo , ikitoa ni simple naacha naoa mwingine tatizo vijana mnakosea tokea hatua za Mwanzo kabla ya ndoa ndio maana malalamiko mengi.
 
adriz umeitwa huku
Njoo uokote mawe yako unayopopolewa huku
Hahahahahaha!! hii timu mwaka huu naitabiria kifo hapa Jukwaani na sitaki wabaki kuendeleza propaganda zao , nitaomba Mdahalo nao wa wazi wa kistaarabu kujadiliana kwa hoja .

Vilevile nina nyuzi kama 5 ziko pending kwa ajili kuwaapinga humo Kuna madini tosha natarajia kataa Ndoa wengi wataridisha kadi na kusurrender nikianza kuzishusha.
 
Kama zitaweza kufuta haya makandokando yanayoendelea sawa uulete
 

Watibeli kusema ukweli bila kuangalia upande.
Sema nikisema kwa Wanaume uchangiaji unakuwa mdogo. Unajua ni Kwa nini?

Utafutaji kwa Wanawake bado ni changamoto kubwa.

Kama Wanawake wakiweza kujitegemea huwezi sikia habari za unyanyasaji, ukatili, UONEVU na majina Mabaya kama single Mother

Uwepo WA hayo ni matokeo ya wanawake kuwa tegemezi. Na wewe unalijua Hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…