Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Jamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.

Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.

Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.

Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.

Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.

Updates kulingana na comments:
Ukiona huu Uzi unachefua wewe pita kimya kimya maana kweli me ni mshamba ndio maana sisapoti kile wengi mnapenda... Lakini pia mimi ni mtu wa taarabu kwa vile mziki wa kwetu watu wa pwani ya bahari ya Hindi ni taarabu
Kahawa ya baridi hii
 
love ni scam dunia ya leo mapenzi yamekua utapeli au ni kama kamari

uwezekano wa kuwin true love ni mdogo sana .

ushauri mwanaume oa mwanamke kwa target moja tu akuzalie watoto ambao ni damu yako waendeleze kizazi chako
Mwanaume kama.hutaki kuoa basi jiandae kuolewa
 
Ngoja siku utombew(e) ndio utatuelewa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hilo kosa ni ngumu kwangu kumsamehe Mwanamke kama nikigundua kwa uhakika kabisa na naomba nikioa yasinikute hayo , ikitoa ni simple naacha naoa mwingine tatizo vijana mnakosea tokea hatua za Mwanzo kabla ya ndoa ndio maana malalamiko mengi.
 
adriz umeitwa huku
Njoo uokote mawe yako unayopopolewa huku
Hahahahahaha!! hii timu mwaka huu naitabiria kifo hapa Jukwaani na sitaki wabaki kuendeleza propaganda zao , nitaomba Mdahalo nao wa wazi wa kistaarabu kujadiliana kwa hoja .

Vilevile nina nyuzi kama 5 ziko pending kwa ajili kuwaapinga humo Kuna madini tosha natarajia kataa Ndoa wengi wataridisha kadi na kusurrender nikianza kuzishusha.
 
Hahahahahaha!! hii timu mwaka huu naitabiria kifo hapa Jukwaani na sitaki wabaki kuendeleza propaganda zao , nitaomba Mdahalo nao wa wazi wa kistaarabu kujadiliana kwa hoja .

Vilevile nina nyuzi kama 5 ziko pending kwa ajili kuwaapinga humo Kuna madini tosha natarajia kataa Ndoa wengi wataridisha kadi na kusurrender nikianza kuzishusha.
Kama zitaweza kufuta haya makandokando yanayoendelea sawa uulete
 
Tatizo siyo kusema ukweli tatizo ni kusema ukweli kwa upande mmoja na kujifanya bubu kwa upande mwingine hapo ndipo shida ilipo, mfano kwenye huu ukweli wako umesahau kumalizia pia kila mtu afanye majukumu ya nyumbani half half, kila mtu alee watoto half half kwa maana ya huduma zote za kimwili anazohitaji mtoto (ukitoa kunyonyeshwa) kuanzia anapozaliwa hadi anapofika umri wa kuweza kujitegemea mwenyewe

Na kubwa kabisa kila mtu ajitawale mwenyewe na wote kuheshimiana hakuna kutaka mmoja amtii mwenzie au awe chini ya mwenzie, mkiwa tayari kutimiza hayo yote ndiposa muwaambie wanawake kuwa kuanzia siku hiyo wasitegemee hata mia mbovu kutoka kwenu kila mtu ajihudumie mwenyewe, na kuhusu suala la mahari itabidi utamaduni wa watoto kutumia jina la ukoo la baba pekee ufe bali watoto waanze kutumia majina ya koo za wazazi wote wawili

Yani mkikubali hayo mbona mambo yatakuwa rahisi tu mimi sidhani kama wanawake wana shida kwenye kutafuta hela, mbona wengi tu siku hizi wanatafuta hela shida inakuja pale ambapo hamtaki kuwapa haki ila mnataka wachukue majukumu, halafu wakiwaambia ukweli mnaanza kuwatukana na kuwaita majina ya ajabu sasa hapo mwenye tatizo kati ya wote ni nani

Watibeli kusema ukweli bila kuangalia upande.
Sema nikisema kwa Wanaume uchangiaji unakuwa mdogo. Unajua ni Kwa nini?

Utafutaji kwa Wanawake bado ni changamoto kubwa.

Kama Wanawake wakiweza kujitegemea huwezi sikia habari za unyanyasaji, ukatili, UONEVU na majina Mabaya kama single Mother

Uwepo WA hayo ni matokeo ya wanawake kuwa tegemezi. Na wewe unalijua Hilo
 
Back
Top Bottom