Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maaamaeee, Mbele nchale NYuma nchale.Wanaume, nawakumbusha tu, kazini kuna kazi ila hata nyumbani kuna kazi...
Nasubiri kadi ya ndoa boss hata kama ni miaka 30 ijayoDaaah yaani boss wangu sijui nifanyaje haya mapenzi bhna nimeyavulia shati kupendwa ni ajira kabisa...
Kina Baltasari Egonga hawaishi halooo, ila mimi sipo kwenye kataa ndoa, nipo kwenye chelewa ndoa.
Nimesikia na pamoja na kuwa mtiifu.Umesikia lakinii?? 😅
Nikiwa na age nitakupatia😅😅😅Nasubiri kadi ya ndoa boss hata kama ni miaka 30 ijayo
Kahawa ya baridi hiiJamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.
Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.
Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.
Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.
Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.
Updates kulingana na comments:
Ukiona huu Uzi unachefua wewe pita kimya kimya maana kweli me ni mshamba ndio maana sisapoti kile wengi mnapenda... Lakini pia mimi ni mtu wa taarabu kwa vile mziki wa kwetu watu wa pwani ya bahari ya Hindi ni taarabu
Mwanaume kama.hutaki kuoa basi jiandae kuolewalove ni scam dunia ya leo mapenzi yamekua utapeli au ni kama kamari
uwezekano wa kuwin true love ni mdogo sana .
ushauri mwanaume oa mwanamke kwa target moja tu akuzalie watoto ambao ni damu yako waendeleze kizazi chako
Hilo kosa ni ngumu kwangu kumsamehe Mwanamke kama nikigundua kwa uhakika kabisa na naomba nikioa yasinikute hayo , ikitoa ni simple naacha naoa mwingine tatizo vijana mnakosea tokea hatua za Mwanzo kabla ya ndoa ndio maana malalamiko mengi.Ngoja siku utombew(e) ndio utatuelewa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kazia tu mkuu , ila vijana wa hovyo wa Kataa ndoa hawana hoja za msingi ngoja nipate muda niwe free tuombe Mdahalo wa wazi kila pande zilete hoja zao.
Hahahahahaha!! hii timu mwaka huu naitabiria kifo hapa Jukwaani na sitaki wabaki kuendeleza propaganda zao , nitaomba Mdahalo nao wa wazi wa kistaarabu kujadiliana kwa hoja .adriz umeitwa huku
Njoo uokote mawe yako unayopopolewa huku
Kama zitaweza kufuta haya makandokando yanayoendelea sawa uuleteHahahahahaha!! hii timu mwaka huu naitabiria kifo hapa Jukwaani na sitaki wabaki kuendeleza propaganda zao , nitaomba Mdahalo nao wa wazi wa kistaarabu kujadiliana kwa hoja .
Vilevile nina nyuzi kama 5 ziko pending kwa ajili kuwaapinga humo Kuna madini tosha natarajia kataa Ndoa wengi wataridisha kadi na kusurrender nikianza kuzishusha.
Tatizo siyo kusema ukweli tatizo ni kusema ukweli kwa upande mmoja na kujifanya bubu kwa upande mwingine hapo ndipo shida ilipo, mfano kwenye huu ukweli wako umesahau kumalizia pia kila mtu afanye majukumu ya nyumbani half half, kila mtu alee watoto half half kwa maana ya huduma zote za kimwili anazohitaji mtoto (ukitoa kunyonyeshwa) kuanzia anapozaliwa hadi anapofika umri wa kuweza kujitegemea mwenyewe
Na kubwa kabisa kila mtu ajitawale mwenyewe na wote kuheshimiana hakuna kutaka mmoja amtii mwenzie au awe chini ya mwenzie, mkiwa tayari kutimiza hayo yote ndiposa muwaambie wanawake kuwa kuanzia siku hiyo wasitegemee hata mia mbovu kutoka kwenu kila mtu ajihudumie mwenyewe, na kuhusu suala la mahari itabidi utamaduni wa watoto kutumia jina la ukoo la baba pekee ufe bali watoto waanze kutumia majina ya koo za wazazi wote wawili
Yani mkikubali hayo mbona mambo yatakuwa rahisi tu mimi sidhani kama wanawake wana shida kwenye kutafuta hela, mbona wengi tu siku hizi wanatafuta hela shida inakuja pale ambapo hamtaki kuwapa haki ila mnataka wachukue majukumu, halafu wakiwaambia ukweli mnaanza kuwatukana na kuwaita majina ya ajabu sasa hapo mwenye tatizo kati ya wote ni nani
sasa ilikuwa na haja gani yakuandika matokeo ya koloMpaka sasa kataa Ndoa 3- wengine 0
Ngoja tuone itakavyokua