Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Sasa kulikuwa nanulazima gani wakutusema sie vibamia 🀣🀣🀣🀣
So wee wapenda mitulinga eeh.
Ngoja nikuoe Mzee wa kupambania akutwishe mtulinga
 
Basi me ntaishia kuwa wa kutumwa kama ndo hvo πŸ˜…πŸ˜…
 
Yupo humu?
 
Katika kizazi tulichopo ndoa ni concept ambayo imeshapitwa na wakati. Misingi ya ndoa iliwekwa kwenda sambamba na mfumo dume. Sasa tupo kwenye kizazi cha 50/50 lazima taasisi ya ndoa ianguke tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…