Tatizo lipo kwenye investments ndugu yangu. Mwanaume anawekeza kikubwa kwenye mahusiano/ndoa kwaiyo asipopata anachokotarajia yaani heshima na uaminifu uyo mwanasaikolojia hawezi kufanya chochote.Inabidi wanasaikolojia wajikite kwenye kuwashauri wanandoa wasiwe na wivu na wasiumizwe pale mmoja wao anapochepuka.Hii kitu imekua kawaida sana,kuoa na kuolewa iwe ni kwa malengo mengine,kuzaa watoto tu.
Samaki mmoja akioza sio wote.Kama ndo mfumo uliopo ntafanyaje. Wengi wameshaharibu sasa madhara ni kwa wote
Mahakimu siku hizi wana akiliiiiiiiiiiiiTatizo lipo kwenye investments ndugu yangu. Mwanaume anawekeza kikubwa kwenye mahusiano/ndoa kwaiyo asipopata anachokotarajia yaani heshima na uaminifu uyo mwanasaikolojia hawezi kufanya chochote.
Nafikiri suluhisho ni kurekebisha sheria zetu. Tuondoe mzigo anaobebeshwa mwanaume kama kumuhudumia mke na mgawanyo wa mali ndoa ikivunjika ili kinachowakutanisha watu kiwe love adventure tu, penzi likiisha kila mmoja anapita njia yake kwa amani bila kumwacha mwenzake na majeraha ya kiuchumi.
Katika dunia ya 50/50 tunayoishi ambapo mwanamke kapewa uhuru na access zote za kutafuta pesa na mali sioni sababu inayomfanya awe entitled kwenye mali za mwanaume
Dooh๐Shida Kataa ndoa ni wazee wa nyeto wengine ni mapapai
Haya weka ushaid hapa tujue tuna msaidia vipi kijana mwenzetuTayari boss
SanaaaDunia iko uchi
Hahah๐๐,. Fursa imeshapatikana namna hiyo๐Hahaha ww subiri tu had niache hii kazi ya kufagia hii ofisi maana tamkamua mapesa
Bora umesema weweJamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.
Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.
Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.
Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.
Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua ๐ .
๐ ๐ ๐Na wewe si ungeliunga mchana jua kali
View attachment 3233274
hadi wewe mngoni unaunga mkono?Mpaka sasa kataa Ndoa 3- wengine 0
Ngoja tuone itakavyokua