Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

KWaiyo na ww hutaki Ndoa bali unataka kubanduliwa na wanaume tofauti tofauti mpaka utakapoitwa Bibi kizee.
 
Et kibamia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila sisi wanaume kwa nini tunafanyiana hivi. Kama unajua huyu mke wa mtu kwa nini umle? Hata haya mauaji tu nyie hamuogopi?
Katika masuala ambayo sikubaliani na baadhi ya wanaume wenzangu ni suala la kutomber mke wa mtu.

Mimi kama alpha male hii kitu inanichukiza sana, ni kujidhalilisha wewe mwenyewe na kumdhalilisha mwanaume mwenzio.
 
KWaiyo na ww hutaki Ndoa bali unataka kubanduliwa na wanaume tofauti tofauti mpaka utakapoitwa Bibi kizee.
Hivi kwa trend hii unayoiona mtoto wako unayemzaa Leo ana uhakika wa kupata mume kwa haya ambayo wake za watu wanafanya? Me mwenyewe mwanangu wa kiume siwez mruhusu kizembe zembe avamie mi gumegume. Na akiivamia ntafanya juu chini tubaki tunalea watoto yeye atuachie mji wetu

Kama itafikia hakuna waoaji bas tutapambana na Hali zetu. Kwanza ndoa sio kila kitu. Umefurahi sasa eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…