Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
-
- #41
Ndio, matusi yapo kwa wote, nami pia huwa nakosoa pande zote, ila nikikosoa CHADEMA ndio matusi yanakuwa mengi...sijataka hapa kuwe kanisani, kwani kanisani ndio sehemu pekee ambayo hutakiwi kutukana?Mkuu matusi ni kwa vijana wa vyama vyote, labda kama macho yako umeweka filter. Isitoshe nimekuambia humu mitandaoni sio kama kwenye vikao vya kanisa, hivyo dhihaka, matusi na kejeli ni sehemu ya changamoto za mitandaoni, huwezi kukwepa, labda ungesema hayo matusi umetukanwa na virified I'd ya CDM.
Ndio, matusi yapo kwa wote, nami pia huwa nakosoa pande zote, ila nikikosoa CHADEMA ndio matusi yanakuwa mengi...sijataka hapa kuwe kanisani, kwani kanisani ndio sehemu pekee ambayo hutakiwi kutukana?
Nikikosoa Chadema ndio matusi yanakuwa mengi, kwani wewe ulivyosema hata CCM wanatukana walikuonyesha kadi?Huku ni mitandaoni na hakuna udhibiti mkubwa wa hivyo, kwahiyo tegemea lugha usizozipenda na uishi nazo. Hata hivyo unajuaje mtu ni kijana wa CDM wakati hakuna mwenye kadi humu ndani? Ndio maana nimekuuliza umetukanwa na verified I'd ya CDM?
Nikikosoa Chadema ndio matusi yanakuwa mengi, kwani wewe ulivyosema hata CCM wanatukana walikuonyesha kadi?
Na kutokutukana kwani ni lazima udhibitiwe? Huwezi kuwa mstaarabu kwa hiyari?
Wewe hao vijana unaosema ni wa CCM walokuonyesha kadi?Nimekuambia hata vijana wa CCM wanatukana kwasababu humu ndani hoja ikiwa kinzani matusi, kejeli na dhihaka ni mambo ya kawaida. Na tunaishi nayo kama tunavyoishi, na waongo, washirikina, wazinzi nk huko mitaani. Hicho kipimo chako cha cdm ndio kimenipa shida.
Wewe hao vijana unaosema ni wa CCM walokuonyesha kadi?
Sasa ukikosoa Bavicha kisha ukatukanwa, unadhani wanaolutukana watakuwa wa chama gani?Rejea hoja yoyote kinzani ni lazima matusi, hivyo haijalishi ni CCM au CDM. Tatizo ni kipimo ulichotumia kujua kuwa CDM ndio wengi. Mimi sijakuambia wengi ni wa chama gani, bali nimesema hata CCM wanatukana as long as hoja haibebi chama fulani.
Hata kwenye hii thread si unawaona tayari wameshaanza.
Jamani ni kweli tumeichoka CCM, ila hawa ndio tuwakabidhi nchi?
NdioWewe una nchi ya kukabidhi mtu..?
Huna lolote wewe , unataka kusema nini wewe..? eti wewe una nchi ya kumkabidhi mtu mnakera sana nyie watu.Ndio
Sasa ukikosoa Bavicha kisha ukatukanwa, unadhani wanaolutukana watakuwa wa chama gani?
Au ukikosoa UVCCM ukatukanwa, haon wanaokutukana unadhani watakuwa wa chama gani?
Nakosoa vyama vyote, ila nikikosoa Chadema huwa matusi ndio yanakuwa mengi kuliko nikikosoa CCM
Ndio ninayo.. Kereka tuHuna lolote wewe , unataka kusema nini wewe..? eti wewe una nchi ya kumkabidhi mtu mnakera sana nyie watu.