Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #41
Ndio, matusi yapo kwa wote, nami pia huwa nakosoa pande zote, ila nikikosoa CHADEMA ndio matusi yanakuwa mengi...sijataka hapa kuwe kanisani, kwani kanisani ndio sehemu pekee ambayo hutakiwi kutukana?Mkuu matusi ni kwa vijana wa vyama vyote, labda kama macho yako umeweka filter. Isitoshe nimekuambia humu mitandaoni sio kama kwenye vikao vya kanisa, hivyo dhihaka, matusi na kejeli ni sehemu ya changamoto za mitandaoni, huwezi kukwepa, labda ungesema hayo matusi umetukanwa na virified I'd ya CDM.