Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Haha yaani badala ya kuwalisha uanze kuwapa semina?
Mbona utasutwa hapo hapo hutaamini....utasikia mwanaume wewe mbahili🤣🤣🤣
Soma hata michango ya mabinti humu ni ya hovyo kupindukia.
Wamezoea maujinga haya
Kwa hiyo ukikimbia bill mpaka ya kwako ndo utasifiwa?
 
Ila watu wanapitia mengi huko kwenye outings.

Shost angu akapataga danga jipyaa, akamuomba amtoe out weekend 1, bas shost huyo had kwangu eti ananambia mie nijiandae weekend kuna mtokoo, khee namuuliza mtoko vipi tena eti kuna danga limemuambia hvyo,

Nkamuambia amekuomba wee akutoe out, sasa mie nahusikaje hapo? Anaanzaa oooh wee hutak kwenda ku slay, nkamuambia sio sahihi kwenda na mie, akaanza kukasirika, nkamchana ukweli shost niachee nenda mwenyewe sitaki niwe kero kwa mtoko wenu, km hutaki kuliwa hiyo weekend wee tafuta kisingizio utamuambia. Bas tukaachana.

Kumbe yeye kaenda kutafuta dadaz wengine wawili watoke nae, bas siku ikafika wakatumiwa usafiri kuwachukua, wakaenda had alipo jamaa ni The Elements Masaki, kufika kulee kumkuta dangaa yupoo hapo, wale mashost wakakaa nao waka agiza wanavyotumia had muda danga alipoona ni sahihi waka enjoy na shost, akamuomba kuwa wenzie awarudishe chuoni, shost akaanza eti akiwaacha itakua sio vizuri, bas danga akakubali ila hakuridhika, waka agana akawachukulia usafiri kuwarudisha chuo wote.

Yulee danga alijua kutuma matusi, alianza kuwachamba wale mashost kila m1 jinsi alivyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sio kwa vile vichambooo khaaah.
Ananioneshaa text shost, nkajisemea nilijua tena ningekua na mie sasa huu mzigo was matusi na kichamboo ungekua wangu wotee, khaaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachuo wanafanya hivyo huwa hawataki kuliwa ndo wanakuja group. Mweeeeeh.
 
Mdada ana roho ngumu yule!!!Nimemlipia ada miaka mitatu na hela za matumizi na hosteli na bado nikapigwa chini wiki moja kabla amalize chuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji25][emoji25][emoji25]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah kamlogee aseeeh.
 
Nafikiri pitia michango yangu hapo juu kwanza
Sina haja ya kwenda huko, nnachotaka kusema ni kuwa hao unaowasema wadada wa kibongo mnawaendekeza wenyewe. Unadhani huko kenya wadada hawatamani kulipiwa!? Kwa nn hawAlipiwi? Ni kwa sababu wanaume wa kenya wanajitambua na wanawachana live.

Sasa ninyi kibongo bongo mnaleta unafki mnawachekea chekea ndo maana hawaachi hiyo tabia
 
Umenijibu utumbo.
Huo sio mtazamo wangu.
Ndio maana nilikwambia usome michango yangu.
Pita hivi na usini quote utumbo huu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah kamlogee aseeeh.
Huwezi amini mpaka mimi najishangaa ilíkua mimi au nilirogwa miaka yote mitatu!!!!Duuuh yule dada wa CBE ana roho ngumu balaa!!!!Afu cha ajabu hatukunanii eti mpaka tufunge ndoa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unataka kula hela ya mtu harafu hautaki kuliwa? nitakupiga nikutoe meno
 
Wewe ndyo mshamba wa kujaji maamuzi ya mtu kama angekuwa hamuamini si angechagua mwanamke sehemu anayoona ni safe kwake acha shobo dundo

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi amini mpaka mimi najishangaa ilíkua mimi au nilirogwa miaka yote mitatu!!!!Duuuh yule dada wa CBE ana roho ngumu balaa!!!!Afu cha ajabu hatukunanii eti mpaka tufunge ndoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umelogwaaa wee.
 
Lakin now dayz wanaume wamekua wajanja
 
Kwa nini ufe na kitu rohoni, hivi ungemwambia huna bajeti ya rafiki yake unadhani ungeonekana masikini au unadhani ungekuwa umejishusha?

Back in the days nimewahi kuwa katika mazingira ambayo mkitoka kila mtu analipia chake, au anakuambia kabisa you'll take care of drinks na mimi vyakula. Hakuna kupeana stress wakati mmetoka kufurahia. Najua kwa maisha yetu ni ngumu japo wapo wachache wanajitahidi, ila usiletewe mzigo wa kundi la watu uwalishe na kuwanywesha in the name of outing, unless of course mlipanga kutoka as a group.

Principle iko hivi, ukiniita manake una budget yangu, nikikuita manake nina budget yako.
 
Watoto wanapitia maisha magumu..sisi wazee tunavyobembelezwa kutolewa out na bado tunaringa🤣 unaulizwa unataka kula wapi unachomoa.... lro niko busy....
Tatizo ushakula salio lako lote la outing🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…