Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Usisahau nchi hii inafake kila kitu.
 
Vijana wanaonyweshwaga pombe na wanaume wenzie ndyo watammandi jamaa ila msela alifanya la maana sana hawa mabinti ukijichekesha tu kesho unajikuta unaamka unapiga miyao tu wakati jana ulikuwa na laki mbili ulichokifanya hakuna, mtu umeitwa mwenywe alafu unakuja na kijiji alafu wanakunywa savan alooo boss hongera sana maana ulieshimu pesa na jasho lako kuliko kueshimu awa kenge maji

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
Watoto wanapitia maisha magumu..sisi wazee tunavyobembelezwa kutolewa out na bado tunaringa[emoji1787] unaulizwa unataka kula wapi unachomoa.... lro niko busy....
Hata sio wazee tyuuh, hata watoto baadhi unakuta hana interest na outings ila ndo reqs za outs zinakua nyingi kwake had keroo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upelee humuota asiye na kucha.
 
Hio ni elimu elekezi ya utu hongera sana
 
Sasa hivi tunatumbia mbinu mpya hii inaitwa""""MTEGO WA KUKU"""Hiyo mbinu hata wewe coca huchomoi au kuchomoka!!!!!Unanasa tu hata uwe mjanja vipi
Nashukuruu sio mtu wa outings, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Babee angu had huwa anachukia, anachofanya sasa akitoka out nisilalee had yeye atoke huko afike kwake.

Ananitesaa..
 
Kama ungelipia bills alafu ukawarudisha salama na kutafuta muda umwambie ukweli. Ungeokoa mambo mengi, lakini mpaka hapo umeanza mechi 3-0.
Warembo wako wengi sana mjini apa kwann uteseke na mmoja ambaye akili zake aziko sawa yani utumie pesa ambayo haiko kwenye mipangilio yako what a https://jamii.app/JFUserGuide

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
Fafanua Mwamba
Sasa Wadiz nikifafanua hawa wadada kama dadangu Coca na dadangu Miss natafuta watajua mbinu zetu!!!!Anyway ngoja nifafanue tu"""""Kwanza kabisa lazima uwe unajua tabia za kuku zipoje Wadiz.....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…