Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Kwanza ushasema ulisoma Mkwawa,mpaka hapo udhaifu tumeshauona,Ng'ombe wa maskini hazai ulitakiwa malengo yako kidogo uwe sehemu salama ungelisoma shule za Private,
Mkuu umezaliwa juzi? Mkwawa anayoizungumzia unahisi ilikuwa shule ya kata kama ya kule kishumunduni? Embu kajiandae na sup haraka
 
Kama kuna mtu hapa JF ana qualifications nilizosema hana kazi, ajitokeze mbona ajira zipo bwelele. Umkute mtu kasoma Masters ya Physics, undergraduate ana GPA zaidi ya 3.5 na Masters 4.0 awe anatembeza bahasha ya kaki kweli!!!!
Kwa hiyo mkuu wote walio na elimu unayosema wapo makazini?
 
Mkuu subiri ndege yetu itoke canada urubani nje nje mbonaa, utaondoka tu hapo kwa muhindi.
 
Urubani ni Hela yako hata kama umeishua Form four ndege utaendesha PPL dolar 17000, CPL na IR 34000usd. Ukimaliza hapo kazi kwako kupiga kazi Tropical hadi upate hela za kwenda embraer au bombadier au boeing
 
Mpuuzi ulisomaje hiyo kitu naunamaisha magumu kiasi hicho...mwezako magufuli president
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki.

Aisee elimu hii ovyo sana.
 
Hata mm nakumbuka nilikua naambiwa PGM ni urubani au uhandisi...lakini ishi ndoto zako, ng'ang'ana ufike ndoto zako!
Kaka yangu 1979, enzi hizo Mazengo PGM alihakikishiwa kabisa urubani, akaishia vipimo na mizani, na akili za kufa mtu kichwani. Mufindi Paper Mill (Mgololo) akaishia ukarani hadi kifo chake
 
Back
Top Bottom