Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

Kabisa Bro, mwaka jana mwezi wa saba nilikwenda serengeti pia. Alinifariji Twiga tu akivuka barabara mbele yetu, ule mwendo wake sita sahau, anavutia sana! Nilitegemea kuwaona simba na tembo kwa wingi nasikitika haikua bahati yangu.

Nilijiuliza inakuaje kwa Wageni ambao hutoka mataifa ya mbali wanapotembelea mbuga zetu na wasione walichotarajia kuona, huwa wanajiskiaje?!
 
Ukitaka kuwaona weka appointment, wana maisha yao na wanavyowindwa wengi hujificha.... na sio wengi kama unavyoona kwenye filamu.

Usile Mbegu.
 
Ukitaka kuwaona weka appointment, wana maisha yao na wanavyowindwa wengi hujificha.... na sio wengi kama unavyoona kwenye filamu.

Usile Mbegu.
kuna majangili ngorongoro creta? hao watakuwa gem labda

Quote
 
Mkuu next time ukitaka kuwaona Simba vizuri pitia njia ya TP mazembe! Utawaona kwa ukaribu na unaweza kuwapakata kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi unamfananisha FARU na diamond we kweli pwagu
 
hivi unamfananisha FARU na diamond we kweli pwagu
 
Hela za kuwalisha wanakula wajanja sasa patabaki kitu yaani mswahili hata pepo ingekuwa inaonekana wangeiba ikabaki moto tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Bajeti ya kuwalisha hao wanyama mkuu tuambie

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sehemu ni kubwa na inakuwa na baadhi ya wanyama wanaozunguka freely na unaingia na magari bila kushuka ingekuwa poa sana na ingejilipa sana
Hii sina maana mbuga bali sehemu iliyofungwa
Nimeziona nyingi za hivi Ulaya wakiwa wamebeba wanyama wetu wengi na kuwaweka kwenye uzio kama Whipsnade Zoo na zinajiendesha kwa faida hata kama wakifunga kwa msimu
Ila tatizo kwetu ni ujanja mwingi sana


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Dmkali kumbe tulikua wote kwenye interview NCAA juzi. Hongera hukuvhaguliwa. Tangu awali nilikua najua huwezi kwenda Ngorongoro kwa kujitegemea. Njoo PM uone picha uliyopigwa
 
Haaa haaa twiga huwa anatembea mguu wa kushoto na mkono wa kushoto yaani side moja inamove pamoja [emoji23][emoji23][emoji23]

Few years from now you may wish you should have started today...
 
Mikumi nako changamoto. Nilienda Novemba mwaka jana. Hatukuona chui, simba tuliishia kuona mkia tu kalala nyuma ya mti.
Nenda usiku bila tour guides mkuu. Utawakuta wanapiga stories maeneo amazing
 
Nenda tena Mkuu maana siku hazifanani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time nenda zoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…