Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
We jamaa acha kumjaza upepo mwenzakoUkitaka kuwaona simba kiulaini nenda usiku peke yako. Utaenjoy mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa acha kumjaza upepo mwenzakoUkitaka kuwaona simba kiulaini nenda usiku peke yako. Utaenjoy mkuu.
Za kuambiwa...... (in JK' voice)We jamaa acha kumjaza upepo mwenzako
Kabisa Bro, mwaka jana mwezi wa saba nilikwenda serengeti pia. Alinifariji Twiga tu akivuka barabara mbele yetu, ule mwendo wake sita sahau, anavutia sana! Nilitegemea kuwaona simba na tembo kwa wingi nasikitika haikua bahati yangu.Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!
matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.
Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
Mkuu next time ukitaka kuwaona Simba vizuri pitia njia ya TP mazembe! Utawaona kwa ukaribu na unaweza kuwapakata kabisaHivi majuzi nilibahatika kufika ngorongoro national park eneo la crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.
Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko,digidigi,punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!
Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!
matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.
Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
hivi unamfananisha FARU na diamond we kweli pwagukwahiyo we uldhani mitembo na mifaru ikae inakusubiri wewe uwaone kw angle iliyokukalia poa kirahisi rahisi! na wao huwa wako bize na maisha yao.
ni sawa na mtu wa tunduma aje dar azunguke halafu ashangae mbona kafika dar hajamuona diamond wala wema wala makonda, wakati hao watu wako bize na mambo yao
Sent using Jamii Forums mobile app

Hela za kuwalisha wanakula wajanja sasa patabaki kitu yaani mswahili hata pepo ingekuwa inaonekana wangeiba ikabaki moto tuSerikali sijui imeferi wapi kwa sasa zamani kwenye baadhi ya mikoa kulikuwa na zoo mfano mwanza ple pasiasi ulikuwa ukienda unaona wanyama takribani wote wakiwa wamefungiwa kwenye mabanda, pale Tabora kulikuwa na zoo napo ulikuwa hivyo hivyo siku za sikuu au week end wazazi walitembelea na familia zao kwenda jionea wanyama na ndege wa aina mbali mbali
Kuna kipindi nilienda dar zoo nikiwa na picha ile ile ya zile zoo nilizokuwa nikiziona udogoni mwangu ila nilipofika uko hakuna lolote niliona simba tu
Wito wangu wizara husika ebu fanyeni kitu watoto wapate kukifunza kwa kuona siyo lazima site twende bugani on a mdau analalamika hapa kafika mbugani hakuna kitu
Tatizo wazili mwenye dhamana kageuka mwandishi wa story za Instagram sijui nje ya box baada kudeal na vitu vya msingi vilivyofanya tumjue yupo kutuadithia hadithia tu akitaka tuamini kakulia kwenye shida yeye ni mpambanaji tunasubilia ajichanganye tufukue makaburi
Kama sehemu ni kubwa na inakuwa na baadhi ya wanyama wanaozunguka freely na unaingia na magari bila kushuka ingekuwa poa sana na ingejilipa sana
sawanext time tafuta Guide mzuri huwa wanajua muda na mahali baadhi ya wanyama unaweza wakuta. .
Haaa haaa twiga huwa anatembea mguu wa kushoto na mkono wa kushoto yaani side moja inamove pamoja [emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa Bro, mwaka jana mwezi wa saba nilikwenda serengeti pia. Alinifariji Twiga tu akivuka barabara mbele yetu ule mwendo wake sita sahau, anavutia sana. Nilitegemea kuwaona simba na tembo kwa wingi nasikitika haikua bahati yangu.
Nilijiuliza inakuaje kwa Wageni kutoka mataifa ya mbali wanapotembelea mbuga zetu na wasione walichotarajia, huwa wanajiskiaje?!
Mikumi nako changamoto. Nilienda Novemba mwaka jana. Hatukuona chui, simba tuliishia kuona mkia tu kalala nyuma ya mti.Mikumi mkuu. Ukirudi mzima uje utupe mrejesho humu
nilienda Arusha N.P,niliona tumbili tuBora umeona hata hao.
Ungeenda ruaha usingeona hata swala.
Nenda usiku bila tour guides mkuu. Utawakuta wanapiga stories maeneo amazingMikumi nako changamoto. Nilienda Novemba mwaka jana. Hatukuona chui, simba tuliishia kuona mkia tu kalala nyuma ya mti.
Hivi majuzi nilibahatika kufika ngorongoro national park eneo la crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.
Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko,digidigi,punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!
Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!
matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.
Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
Next time nenda zoo.Hivi majuzi nilibahatika kufika ngorongoro national park eneo la crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.