Chrix_Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 880
- 1,100
Ukitaka kuwaona simba kiulaini nenda usiku peke yako. Utaenjoy mkuu.
Hii bangi unayovuta sio ya nchi hii aseeeš¤£
__Cheusi_Dawa__[emoji276]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka kuwaona simba kiulaini nenda usiku peke yako. Utaenjoy mkuu.
Kitu cha Njombe hicho mkuu, ambacho Magu alimshauri kamongo wake awe anazimua kabla ya kuingia kazinišššHii bangi unayovuta sio ya nchi hii aseeeš¤£
__Cheusi_Dawa__[emoji276]
We bana umeamua kuchangamsha genge tuu!Hivi majuzi nilibahatika kufika ngorongoro national park eneo la crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.
Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko,digidigi,punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!
Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!
matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.
Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
umbali wote huo?Ukitaka kuwaona vizuri unazunguka mbugani kwa miguu,wanaogopa magari wale
'You can do anything but not everything'
Wale lazima waone.....Kabisa Bro, mwaka jana mwezi wa saba nilikwenda serengeti pia. Alinifariji Twiga tu akivuka barabara mbele yetu ule mwendo wake sita sahau, anavutia sana. Nilitegemea kuwaona simba na tembo kwa wingi nasikitika haikua bahati yangu.
Nilijiuliza inakuaje kwa Wageni kutoka mataifa ya mbali wanapotembelea mbuga zetu na wasione walichotarajia, huwa wanajiskiaje?!
Hivi majuzi nilibahatika kufika ngorongoro national park eneo la crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.
Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko,digidigi,punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!
Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!
matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.
Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
Wow! lazima nitawaona si tutabeba na hema na kagodoro si et baby?Next time tutaenda wote mkuu labda utawaona
Wow! lazima nitawaona si tutabeba na hema na kagodoro si et baby?
Mikumi ilikuwa zamani bwana sahizi wanyama hawaonekani. Mi nakumbuka miaka ya 1990s. Ukipita mikumi ilikuwa Raha Sana yaani Tembo, Twiga, pundamilia, n.k walikuwa wanaonekana Katika makundi makubwa mno. Ila siku Hizi hawaonekani na wakionekana ni Kwa nadra Sana .Pita barabara ya Morogoro to Iringa, pale Mikumi utajionea freely hususani kipindi hiki hadi simba utawaona pembezoni mwa barabara tu
Mikumi miaka hiyo palipendeza Ila ni miaka ya 1990s. Wanyama wa aina zote kuanzia Simba, nyati, Tembo, Twiga, swala, pundamilia, nyani n.k. wakionekana ukiwa barabarani tuu. Ila sasa sionagi kituNakumbuka tuliwahi kwenda Mikumi wakati tupo shule miaka hiyoooo .... Ndipo niligundua hii sio hobby yangu.
ni PM namba yako nazani tupange pasaka hii;Ukienda usisite kunijuza š¤
Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.
Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!
Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!
Matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.

Wana majira yao hivyo tazama kwenye website ya bodi ya utalii au mbuga husika. Au kama vipi watch tu kwenye YouTube.Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
ni PM namba yako nazani tupange pasaka hii;
Ilikuwa miaka ya 1990's..... Niliona kama nimekwenda kujichosha kwa kweli....!!!!Mikumi miaka hiyo palipendeza Ila ni miaka ya 1990s. Wanyama wa aina zote kuanzia Simba, nyati, Tembo, Twiga, swala, pundamilia, nyani n.k. wakionekana ukiwa barabarani tuu. Ila sasa sionagi kitu
Sent using Jamii Forums mobile app