Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

Ukitaka kuwaona vizuri unazunguka mbugani kwa miguu,wanaogopa magari wale

'You can do anything but not everything'
 
Hii bangi unayovuta sio ya nchi hii aseee🤣

__Cheusi_Dawa__[emoji276]
Kitu cha Njombe hicho mkuu, ambacho Magu alimshauri kamongo wake awe anazimua kabla ya kuingia kazinišŸ˜ŽšŸ˜ŽšŸ˜Ž
 
Hivi majuzi nilibahatika kufika ngorongoro national park eneo la crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.

Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko,digidigi,punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!

Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!

matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.

Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
We bana umeamua kuchangamsha genge tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa Bro, mwaka jana mwezi wa saba nilikwenda serengeti pia. Alinifariji Twiga tu akivuka barabara mbele yetu ule mwendo wake sita sahau, anavutia sana. Nilitegemea kuwaona simba na tembo kwa wingi nasikitika haikua bahati yangu.

Nilijiuliza inakuaje kwa Wageni kutoka mataifa ya mbali wanapotembelea mbuga zetu na wasione walichotarajia, huwa wanajiskiaje?!
Wale lazima waone.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi majuzi nilibahatika kufika ngorongoro national park eneo la crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.
Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko,digidigi,punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!
Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!
matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.
Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?

Next time tutaenda wote mkuu labda utawaona
 
Pita barabara ya Morogoro to Iringa, pale Mikumi utajionea freely hususani kipindi hiki hadi simba utawaona pembezoni mwa barabara tu
Mikumi ilikuwa zamani bwana sahizi wanyama hawaonekani. Mi nakumbuka miaka ya 1990s. Ukipita mikumi ilikuwa Raha Sana yaani Tembo, Twiga, pundamilia, n.k walikuwa wanaonekana Katika makundi makubwa mno. Ila siku Hizi hawaonekani na wakionekana ni Kwa nadra Sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka tuliwahi kwenda Mikumi wakati tupo shule miaka hiyoooo .... Ndipo niligundua hii sio hobby yangu.
Mikumi miaka hiyo palipendeza Ila ni miaka ya 1990s. Wanyama wa aina zote kuanzia Simba, nyati, Tembo, Twiga, swala, pundamilia, nyani n.k. wakionekana ukiwa barabarani tuu. Ila sasa sionagi kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.

Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!

Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!

Matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.

Katika maeneo matano mazuri ya utalii ndani ya nchi yetu Ngorongoro nayo ipo kitendo cha wewe kuona wanyama tofauti tofauti wasiofika kumi kinakatisha tamaa lkn nikushauri wakati mwingine uchague guide mwingine maana huyo uliyekuwa nae ni labda haijui Ngorongoro au mlienda kutalii mchana wa jua kali.Pia Ngorongoro sio National Park ile ni Ngorongoro Conservation Area Authority(Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro),kuna tofauti kati ya national park na NCAA mojawapo ni NCAA ni multiple land use na National park shughuli zozote za kibinadamu haziruhusiwi(mfano makazi,ufugaji n.k)
Pole sana na usikate tamaa Tanzania bado ina maeneo mengi mazuri ya kutembelea#Tanzania Unforgettable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
Wana majira yao hivyo tazama kwenye website ya bodi ya utalii au mbuga husika. Au kama vipi watch tu kwenye YouTube.
 
Mikumi miaka hiyo palipendeza Ila ni miaka ya 1990s. Wanyama wa aina zote kuanzia Simba, nyati, Tembo, Twiga, swala, pundamilia, nyani n.k. wakionekana ukiwa barabarani tuu. Ila sasa sionagi kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa miaka ya 1990's..... Niliona kama nimekwenda kujichosha kwa kweli....!!!!
 
Back
Top Bottom