Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

Halafu acha kupotosha watoto na watu wa aina yao. Ngorongoro SIYO National Park. Usiniulize ni nini, fukunyua uelewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeeleweka kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilikaaa Arusha miaka mi3 na nikafanya safari za Ngorongoro crater 4! SIMBA niliwaona mara moja tu wakiwa kikundi Ktk safari moja tu! Chui sikuwaona hata safari moja! Niliwaona na wamasai wengi
 
nilikaaa Arusha miaka mi3 na nikafanya safari za Ngorongoro crater 4! SIMBA niliwaona mara moja tu wakiwa kikundi Ktk safari moja tu! Chui sikuwaona hata safari moja! Niliwaona na wamasai wengi
ndo vile
 
Nenda serengeti national park utaona kila kitu hata ukitaka kushika sharubu za simba utazishika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbuga ambayo unaweza kuwaona wanyama live hadi ukawashika na kuongea nao ni la chaz sinza, the great park tbt, maeneo mbali mbali ya buguruni, magomeni na sinza yete...ushuhuda hata jana nilipita kwenye kati mbuga moja niliyotjaja hapo na wanyama wako wengi kweli kweli....
 
wakuchora au?
 
Mnawaua kwa ujangili mnategemea nini? Kinachofuata sasa ni kufunga safari hadi ulaya kwenda kuwaangalia kwenye zoo za wazungu.
 
Ulienda Serengeti kutalii hususani ama kupita tu barabarani ukiendelea na Safari zako? Haiwezekani uende Serengeti ukomee kuona twiga madaha pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pita barabara ya Morogoro to Iringa, pale Mikumi utajionea freely hususani kipindi hiki hadi simba utawaona pembezoni mwa barabara tu
yaaps , nakumbuka mwaka jana mwezi wa saba hivi wakat naenda ifakara nilipita pale mida ya saa moja kasoro tukawaona, watu wakasema n km bahati maana ni adimu sana kuwaona maeneo ya wazi mida km ile, sana sana usikuu,
 
Wazungu hua wakiingia huko hawakai siku moja .wanaweka camp kabisa la week hata sasa wew umepita siku moja uwaone wote hao kwan walikua na miadi na ww...afu usikute hata darubin hukua nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi watetezi wa wanyama tunapinga enslqvement ya wanyama pori.
Huyo kuku tu ukimfanyia ndivyo sivyo tunaku mind pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akitaka kuwaona simba kwa ukaribu zaidi aende Ruaha au akitaka kuona simba na kukaribia kuliwa apige misele kwa boda boda au piki poki ameneo ya rufiji hasa karibu ya selous

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi kwenye TV unawaona vizuri kuliko mbugani,hata uende mara hamsini au mara mia haitatokea uone aina zote za wale wanyama "pendwa" kwa safari moja.
Trip nyingine hata ukiishia kuona punda tu usishangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…