atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Ni mnyama mwenye aibu saana[emoji3]Hivi kwanini ni vigumu sana kumuona chui?
Yule mnyama anajificha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mnyama mwenye aibu saana[emoji3]Hivi kwanini ni vigumu sana kumuona chui?
Yule mnyama anajificha sana
Nakazia" Aende kwa miguu"Ukitaka kuwaona simba kiulaini nenda usiku peke yako. Utaenjoy mkuu.
RUAHA NATIONAL PARKkwani ruaha ni mbuga ya wanyama au ni pori tengefu?
Taratibu za kwenda Tarangire au Ngorongoro zikojeMkuu Ngorongoro mbona ndio centa yenyewe ya chui. Kuna Chui milia, Chui madoa, na wale duma aise ni wengi huu ndio msimu wao ..njoo chap hata kesho utawakuta ..simba ndio usiseme wamezaliana kinoma, kuna hadi simba milia (tiger) wameanza kuletwa ili kuzoea mazingira ya Africa. Njo Serengeti ndio utashaaa ..hao swala wa kila aina, nyati sasa ndio balaa ..hao Punda milia ndio usiseme ..nyumbu ndio kwao kabisa kuna ndege wa kila aina Mkuu nashangaa wewe unasema ujawaona ..embu kunjua roho towa pesa uone wanyama ..ushawai kumuona live Chui Duma akimchomoa Swala ..hahha najua ujawahi kuona ..au kundi la simba likipambana na boonge la nyati ..nyati aliyoshiba haswa ..basi njo Tarangire aise utayenjoy sana.
Bajeti yako tu mkuu one million ukiwa nayo unakula maisha haswa.Taratibu za kwenda Tarangire au Ngorongoro zikoje
Na kadirio ya gharama
Hapo kuna Tembo wakubwa sana mdogo wangu halafu hawapendi kelele kabisa. Kuna kijamaa kilikuja na gari yake sasa tembo anamfuata yeye anakaza atoki wacha tembo asinye sinye gari ..ilikuwa ni balaa mzee..Nusu tubutuliwe na Tembo hapo Tarangire sina hamu nako
Kuna tukio la watoto wa tatu wa kimasai kuuliwa na simba juzi kati hapa walikuwa wanatoka shule.Wamasai ni specie tofauti na wamezoeana na simba n.k, we ulishasikia hata Simba amemla mtoto wa kimasai?
Hata kula tu ng'ombe wa mmasai ni ngumu...ila ni mara kadhaa simba wanaua na kudhuru binadamu wengine
Kuna dawa wanapaka wamasai Hata wakipita jirani na simba kwa mita 3 wanakuwa kero kwa simba na wanyama wengine
Kingine wamasai wamekuwa wakiua simba mara kadha wa kadha bila risasi na simba wanajua hilo
Ndio wameleta watoto (cubs) kuja kuwajaribuSimba milia???[emoji13][emoji13][emoji13] Tanzania hii??
Hawakupakwa dawa wanayosema wanayoKuna tukio la watoto wa tatu wa kimasai kuuliwa na simba juzi kati hapa walikuwa wanatoka shule.
Nipe connection ya kampuni hizo kubwaPitia Kwa kampuni sahihi za kitalii,, siyo unakaa siku mbili unatarajia uone kila kitu ndugu! Unadhani hao wanyama wanakuwa wamepewa taarifa kwamba unaenda? Baadhi ya wanyama Kama chui Kwa mfano,, mnaweza kumaliza hata mwezi bila kumuona! Na siyo kwamba yupo mbali au hawapo!
Next time jipange kukaa mbugani angalau Kwa siku tano, na usitumie vikampuni uchwara eti!
hata akirudi kafa pia aje atujulishe, mikumi uhakika mkuu..Mikumi mkuu. Ukirudi mzima uje utupe mrejesho humu
1m unapata kiwanja unahamiaBajeti yako tu mkuu one million ukiwa nayo unakula maisha haswa.
Iko wapiNjoo Mwl.Nyere National Park
Utanishkuruu.
Wewe una viwanja vingapi adi sasa mkuu.?1m unapata kiwanja unahamia
Asante kwa ushauriWatanzania wenzangu tujifunze tofauti ya
Hifadhi za wanyama pori
Na
Bustani za wanyama..
Hifadhi za wanyana maana yake ni maeneo yakiotengwa na kuwaacha wanyama waishi katika asili yao bila kuingiliwa na binaadam.
Hivyo wanaishi mazingira yao ya asili..
wanyama wa maeneo haya huwa wanaishi wanavyotaka na wakitaka wao kwa asili zao wanakua wanajificha au kukaa maeneo ambayo sio rahisi kuonekana kwani ni mbali na mizunguko ya binaadam..
Bustani za wanyama ni sehemu wanyama wanahifadhiwa kwa ajili ya kwenda kuangaliwa hivyo hiwa rahisi kuwaona na mara nyingi huwa kwenye eneo dogo lililo wekwa uzio ..
So ukitaka uhakika wa kuona wanyama nenda kwenye bustani .. uwaone wanyama wanavyofugwa but ukitaka kuona wanyama wanaishije katika asili zao nenda Katika hifadhi za wanyama…