Leo asubuhi niliweza kwenda kanisani kumpa kampani rafiki yangu,
Nikiwa ndani ya kanisa mojawapo maarufu hata kwa hapa duniani kuna binti aliingia kiukweli nilistushwa kwa namna ya vazi alilovaa lilivyomchora maumbile yake.
Ila ibada iliendelea kama kawaida ndipo nikakumbuka kuwa kwao wanachoamini Mungu haangalii mavazi bali roho tofauti na kwa wengine wanavyoamini maadiko hata ya biblia kwamba Mungu alishaweka sheria za mavazi yawe ya kutustiri na wanawake wasivae suruali
Japo wengine hawakuwa na mda nae ila kwangu nilishangaa sana inakuwaje mwanamke huyu mavazi aliyovaa sehemu takatifu ni kama ya kwenda kujiuza bar na kanisa hilo wala halioni cha ajabu ?
Pindi tunavyotoka nikasema huyu lazima nimpige picha na kweli nikaweza kuipata picha tukiwa nje japo kwa manati.
Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi hata na wale wengine wa jumamosi ?
View attachment 2582156