Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

Kanisa ni sehemu takatifu, mtu kwenda kavaa mavaz haya utadhani kaenda bar kujiuza si sawa, lazima kuwe na mipaka.
 
kwa kweli makanisani ni hatari sana, Hata ukiwa eneo la karibu tu unaipata vizuri.
 
Kanisa ni sehemu takatifu, mtu kwenda kavaa mavaz haya utadhani kaenda bar kujiuza si sawa, lazima kuwe na mipaka.
Kanisa ni sehemu inagoma mtu mafundisho ya kiroho,

Leo akienda hivyo,Mafundisho ya kiroho ya kimuingia taratibu atabadilika mwenyewe bila kulazimishwa,

Ni kama wew tu kipindi ulipokuwa mtoto ulikuwa unavaa nguo ina mamichuzi ya maharage,nyama matongotongo Nk,Baada ya kujitambua sidhani kama unavaa hvyo tena.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
.....kanisa linapitia wakati mgumu sana, Leo kanisani kaingia kijana wa kiume ana dalili zote za u-punga sababu alisuka Rasta, kavaa hereni masikio yote na mbaya zaidi alibeba pochi ya kike... Mwisho Kiongozi alisema jamaa walikuwa na ajenda ya kusali kila kanisa ili watu waanze kuwazoea kwenye Nyumba hizo za Ibada. Askofu yupo vizuri kaandika Barua ya kuonya uwepo wa mambo hayo na kuwataka waumini wajadili kupitia familia na jumuiya ili wapendekeze nini kifanyike kuinusuru nchi kwa kuenea zaidi kwa hali hiyo... Mungu atusaidie sana.
 
Sisi waumini wa kanisa hilo maarufu tunapenda waumini kama hawa wawemo tu
 
acha visingizio vya kipumbavu, watu wanaruhusiwa kunywa pombe kanisani, watu wanatuhusiwa kufanya ngono kanisani, watu wanaruhusiwa kuiba kanisani...

Kanisani ni sehemu takatifu, fanya ujinga wako nje ya kanisa ila kanisani fika ukionyesha nia ya kuwa katika njia inayompendeza Mungu.

Mnataka watu waanze kuingia na vichupi ?
 
Mkuu bora na wew umeliona hili, maana siku zote kile watu wanachokidharau, huwa ndio ukweli lakini kile wanachokiamini ndio uongo kabisa.

Tena hii ukiwa na nia ya kweli kutoka moyoni na ukafanya research, basi mda utaongea maana taratibu utanza kuona uhuni uliopo kwa hizi dini.
 
Dahhh!mtihani huu
 
Kuna tatizo lipi kumpa kampani rafiki yangu kwenda kanisani, Au hujui amrikuu ya yesu ni sisi wanadamu kupendana ?
Hata huyo aliyevaa hivyo unajuaje kama alimpa mtu kampani na hakwenda kuabudu.
 
Una ujinga kichwani kwako?, Ulienda kanisani kwaajili ya kusimdikiza mtu? , Kwahiyo hapo no kanisani?.
 
Mkuu kama ulichukua na namba nitumie dm tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…