HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
huna hojaa.nani kakuambia tunabishana hapa?Sibishani mtukanaji all in all pole kwa stress
Pole kwa stresshuna hojaa.nani kakuambia tunabishana hapa?
Jirani acha tuTena hizi ni stress za kukosa pesa ya sikukuu, hasira zake kahamishia JF.
Unajisikiaje unavyotukana? Pole kwa stress🤣🤣🤣🤣🤣kapelekewe Moto huko panya wee
Mental health is reallynajiskia kukubaka.sawa?
Pole kwa msongo wa mawazo🤣🤣🤣jinga iloooo
Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.
Sawa,jinga bhana🤣🤣
Ile ID yako nyingine umepigwa ban umefunguwa hii, badala ya kukaa kwa kutulia unajifanya mjuwaji.🤣🤣🤣🤣🤣kapelekewe Moto huko panya wee
Tayari kwisha habari yake.Sawa,
Pole kwa stress
Nilikuwa nafanya kureport Kila comment yake 🤣🤣Tayari kwisha habari yake.
Ujue imeandikwawatakwambia kinachoangaliwa ni roho mkuu
Mbona hako kashati sio kafupi kama ulivyoeleza hapo juuLeo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu
Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi wanazidiwa hata na wenzao wa jumamosi ?
View attachment 2582156
so what?fakeniIle ID yako nyingine umepigwa ban umefunguwa hii, badala ya kukaa kwa kutulia unajifanya mjuwaji.
Sasa ngoja tuifinye na ID hii mpya ndio utajuwa hujui.
Thread za kushambulia dini za watu humu zimekuwa nyingi sanaKwanini umetaja hayo madhehebu?? Kwamba hayo madhehebu yanaruhusu hayo mavazi au ni uchochezi kama uchochezi mwingine wa kidini?
Ni madhehebu niliyoshuhudia,,, hata kwa kkkt hapo kaangalie mavazi waliyoaa waliokuwa wakimtetea kimaroKwanini umetaja hayo madhehebu?? Kwamba hayo madhehebu yanaruhusu hayo mavazi au ni uchochezi kama uchochezi mwingine wa kidini?